Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Haya mambo ni kama kuumwa tu, ukienda hospital unaweza kujiona wewe hauumwi sababu utakutana na watu wanamaugonjwa hadi utashangaa.

Vivo hivyo kwenye kichwa cha mtu, kuna experience mtu akikusimulia au ukijua ashazipitia unaweza kuona wewe maisha yanakupendelea.
Kweli
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Wewe ni Me au Ke?
 
Back
Top Bottom