Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
KweliHaya mambo ni kama kuumwa tu, ukienda hospital unaweza kujiona wewe hauumwi sababu utakutana na watu wanamaugonjwa hadi utashangaa.
Vivo hivyo kwenye kichwa cha mtu, kuna experience mtu akikusimulia au ukijua ashazipitia unaweza kuona wewe maisha yanakupendelea.