Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Wewe ni me au ke?
 
Nikupe wazo?Simulia kwa kujirecord voice notes halafu post hapa jf maana kuandika kama mkasa ni mrefu ni kazi kubwa, au simulia kwa njia ya YouTube channels kwa sasa ziko nyingi, ukisimulia utakuwa umetua mzigo kwa kiasi kikubwa, baadhi ni Davista Mata na kuna Tiki Tv.
 
Karibu kwangu
 
Sehe

Sehemu bora ya kutoa sumu na ujinga wote ndani yako ni jf pekee
Huku ndiko mimi huongea ambayo siwezi kuongea uraiani.
Na bado watu watakusema na kukutukana kwamba unaexpose privacy yako as if wanakujua vile.....sometimes mtu unakosa wa kuongea nae sio kwamba hawapo ila ni kwamba haupo comfotable kuongea. Jf utatoa yote ingawa jiandae kwa matusi na judgment za kutosha.
 
Jitu lisilonijua likitukana, likafie mbele huko
 
Kwanza nikupongeze kwa baraka ulizopewa na Mungu trudie
 
Ongea na mimi babu.

Hutajuta...
 
kweli kabisa.... ukiomba ushauri humu wanatanguliza matusi....
 
Njoo uniambie. Nina sikio la kusikiliza, na mdomo wa kuitikia mhh na eheee. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

#kifua cha kumezea kipo.
Dada Deborah wa form 4 liva, nisameheee mdogo ako
πŸ‘‰ Eti hicho kifua Cha kumezea ndo kikojeπŸ€”πŸ˜πŸ˜†
 
Nishakuambia in case you need help or someone to to talk to, then just tell me rafiki trudie
 
Yaani huku ukija kuomba ushauri kama upo down jiandae kuongeza stress, watu wenye busara wapo wachache sana
mimi mpaka hiyo post nishaifuta πŸ˜… hadi kuitwa 'shoga' kisa ni mwanaume afu naomba ushauri, nikaona isiwe kesi....
 
Huwa najuaga wajinga hamna stress. Sijui imekuaje tena hapa.

Wewe historia ya maisha yako unataka kumueleza mtu ili iwe nini, kwanza huna akili. Mkishashiba tu mnakimbilia kutapika jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…