Napata wapi tena salary slips baada ya kugoma kupatikana mtandaoni?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Umuofia kwenu!!

bado hiyo document haipatikani mtandaoni mpaka leo. maisha yetu ni kukopa na kulipa kila leo.....mwezi julai unakuja, mwezi wa kusomesha vijana wetu. jana nimefika kwenye taasisi ninayokopea wanataka na salary slip ya mwezi mei 2021 na si vinginevyo. naipata wapi, dar au dodoma?!!!
 
Hauna utumishi portal? Siku hizi watu wana download kwenye simu tu hivyo vikaratasi.
 
Hauna utumishi portal? Siku hizi watu wana download kwenye simu tu hivyo vikaratasi.
ya mwezi mei inagoma huko mtandaoni hadi leo, ndicho ninakisema. zinatoka za nyuma tu
 
May imegoma wazee nishajaribu sana.
 
Rekebisha account yako,salary slip zipo mtandaoni kama kawaida.Imebidi ni log in kabla ya kukujibu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…