Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bob junior halafu tag iwe ya a.m records?Mbona hizo nyimbo ulitaja zote zilitengenezwa na Bob junior kasolo moja mawazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bob junior halafu tag iwe ya a.m records?Mbona hizo nyimbo ulitaja zote zilitengenezwa na Bob junior kasolo moja mawazo
Nchi za nje kama wapi?Diamond anawaza mbali sana... Anajua Marry you bado inasumbua sana nchi za nje, hivyo hizi nyimbo ametoa kupunguza kiu ya mashabiki tu, ila naamini kuna kitu kikubwa anaandaa ila muda wake bado... by the way nyimbo nzuri!
Duh aiseeeIfuatayo ni Orodha ya Wapiga Ramli Mashuhuri Kwenye Muziki wa Tanzania kwa Kipindi cha Miaka 6 iliyopita:
January 27, 2015:
November 20, 2014:November 30, 2013:March 21, 2011:
Elewa kwanza somo, acha hasira, lolMnajua watanzania/walimwengu hamana shukran na wala hamkosagi vyakuongea
kwa mfano akitoa nyimbo kama hzo unazotaka ww sijui NENDA KAMWAMBIE, NALIA NA MENGI
mtakuja hapa kudai kwamba DIAMOND habadiliki kila siku anatoa ngoma dizain moja Na mtaanza kumnanga hatotoboa kimataifa TUACHE POROJOOO
Hapo nyimbo ni moja tu yenye tag ya AM ambayo ni mawazo zingine ulizotaja ni za sharobaro recordsBob junior halafu tag iwe ya a.m records?
Mawazo mgandoDiamond anawaza mbali sana... Anajua Marry you bado inasumbua sana nchi za nje, hivyo hizi nyimbo ametoa kupunguza kiu ya mashabiki tu, ila naamini kuna kitu kikubwa anaandaa ila muda wake bado... by the way nyimbo nzuri!
Hawajawahi kuwa level mojatuombe mungu aachie kitu soon cha kuwazima wakina davido,roho inaniuma sana kuona wale jamaa wanatupiga gape wakati walikua level moja tu na diamond
Toa ushahidi mkuu ama tuendelee kuamini kuwa inasadikika!Ni kweli mkuu, marry me inasumbua sana nchi za nje, juzi nilikua korea kaskazini kwa kiduku wimbo wa marry me unapigwa sana kwenye club za mjini pyongyang.Top ten za moscow inashika namba 6, Somalia ndio kama wimbo wa taifa wa Alshabab, Gaza ndio wimbo wa kuitia kwenye sim ya Mahamud Abbas, Italy ndio usiseme kila wiki unashika namba 2 kwenye top ten yao. Wimbo bado unafanya vizuri.
Tembelea maeneo ya Mosul, Raqa, Islamabad kote huko unatamba. Diamond sio wa nchi hii.
Fanya research nenda Google andika Davido uone moto wake.tangu skelew na no one rmx davido kafanya kipi cha maana ndugu ukiondoa mahaba yako,muziki wa nigeria ni vurugu tu
Lini hiyo mkuu?tuombe mungu aachie kitu soon cha kuwazima wakina davido,roho inaniuma sana kuona wale jamaa wanatupiga gape wakati walikua level moja tu na diamond
unavonielekeza utafikiri naishi sayari ya zebaki,mbona skelew hatukuelekezana googleFanya research nenda Google andika Davido uone moto wake.
Zinamweka mbali na mashabiki according to wewe au?! Unamaanisha nini hasa unaposema hizo ndizo sababu zinazomweka mbali na mashabiki?!
Btw, kwanini Diamond awe ndie wa kuandaa pro bono shows na sio mwingine yeyote yule?! Kiba alishawahi kuandaa show kama hiyo? Vanessa alishawahi kuandaa show kama hiyo? Jux alishawahi kuandaa show kama hiyo?! n.k, n.k, n.k!!!
Naomba nikiri kwamba me ni shabiki namba moja wa Diamond,Lakini dah! kiukweli kwa ule ukimya wa mda mref kutoka kwa diamond nilitegemea akirudi safari hii hatakua level zile tulizomzoea za kufanya kolabo na wasanii wa nigeria, Nilitegemea huu upepo walionao kina Davido ama Wizkid ungemuamsha na kwenda level za mbali zaidi lakini badala yake ameniangusha na amerudi kule kule nigeria, Dah!
Yani ile juzi niliposkia Kua kesho yake diamond ataachia hit nikajua kama sio feature Alicia Keys basi itakua ni French Montana ili kuzima ule upepo wa wakina davido na wizkid maana kusema ukweli kwasasa wanigeria wanazidi kuongeza gape kati yao na sisi tofauti na kipindi cha nyuma kidogo.
anyway,yote kwa yote nimpongeze kwa hit nzuri aliyoiachia japo haijakuna mtima wangu haswa lakini nashkuru kwa Kuliamsha Dude maana na najua wasanii wengine nao watafuata kuachia hit kwakua kaka mkuu kashaliamsha DUDE.
Nategemea kuna mazuri mengi yanakuja kutoka kwakeDavido kakaa mwaka mzima hadi kuja kutoa hit song! Hata Davido Fall na If Ni kile kile so Kwa Diamond kuna Mazuri yanakuja Hana Tabia ya kushuka