Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

Kajitahid ila uwezo umepungua na wakat anaurelease huo wimbo xxl clouds fm alisema baada ya wik 3 anatoa ngoma nyingine nadhan ndo itakua na young killa
 
Nimemtaja Diamond kwamba anaweza kuandaa show sababu nimekuona anauwezo na anamashabiki wengi na management nzuri kulinganisha na hao wengine ambao hata Lady Jaydee anaweza andaa show yake na akawafunika mbaya kwa kujaza nyomi.

Sina nia mbaya ni mawazo tu natoa ya kuzidi kumuongezea kipato Diamond kwamba management yake haiwezi kashindwa kukodi uwanja wa sokoine na kupeleka matangazo radio za mbeya halafu wakapiga show na kuondoka na mkwanja wao wa maana ,sio lazima kaka uwaze milioni 200 au 100 hata milioni 20 zinamtosha (sio mwanamahesabu hivyo sijui uwanja unaweza ingiza mashabiki wangapi labda kwa 10,000) .

Sio lazima Diamond ategemee promoters kama kina young dee yeye mwenyewe anajiuza.Sijui kama umepata point yangu
I wish ningelilielezea hili suala kwa kirefu but trust me, in terms of number kwenye calculator, ni rahisi kusema KWANINI ISIWEZEKANE lakini practically, ni worse kuliko unavyodhani!!!

Si kwamba, kwa mfano hawezi kupata hiyo 20M! But tell me something, kama unajiandalia show kama hiyo kwa 20 au even 40M... halafu akija mtu anataka kukupa show unamwambia thamani ya shows zako ni 100M au hata 50M?!

Au chukua mfano mdogo sana! Dar kuna wajasiriamali wangapi kwenye tasnia ya burudani?! Unataka kuniambia hakuna wa kuandaa show pale Taifa penye uwezo wa kuchukua maelfu ya watu?! Kwanini wasifanye assumption hata wakiingia watu 30K mara 10K wanaingiza 300M. Kwenye 300M lazima Diamond utamlipa pesa anayotaka na bado watabaki na faida ya kutosha!!!

Unadhani watu hawazioni hizo figures?! Wanaziona lakini kwa anayefahamu how things work, atajua kabisa it's too good to be true!! Tena na TRA yenyewe hii ya kufuata hata Mama Lishe!!! Wakiona nyomi pale wala hawajiulizi hao watu wamejaa jaa vp pale! Utashitukia unaletewa "invoice" ya kiuwendawazimu wewe hadi utajuta kwanini uliandaa show!!!
 
Endelea kuwa na wasiwasi...
IMG_20170624_220338_968.jpg
ni kunyoosha tuuhh
 
Nimepata mwanga
 
Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka hakuna marefu yasio na ncha tukubali tu kuwa Jamaa yuko Ukingoni
 
Tangu ametoa wimbo wa "bora nikae kimya", namuona kama mbuzi!
 
Wimbo pekee wa Diamond unaonikosha ni UKIMWONA baaaasi, siwezi kuuchoka pale aliimba kweli, wimbo mfupi, hauna madoido wala vikolombwezo, mashair yamesimama, sauti ya hisia, mdundo wa taratibu unaingia mpk kumoyo.
big up sana.
Ukimwona ile dah Mpaka Leo siisahau yani inapenya kumoyo aseee
 
Back
Top Bottom