Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

Diamond anawaza mbali sana... Anajua Marry you bado inasumbua sana nchi za nje, hivyo hizi nyimbo ametoa kupunguza kiu ya mashabiki tu, ila naamini kuna kitu kikubwa anaandaa ila muda wake bado... by the way nyimbo nzuri!
Nchi za nje kama wapi?
 
Ifuatayo ni Orodha ya Wapiga Ramli Mashuhuri Kwenye Muziki wa Tanzania kwa Kipindi cha Miaka 6 iliyopita:
January 27, 2015:
November 20, 2014:
November 30, 2013:March 21, 2011:
Duh aiseee
 
Elewa kwanza somo, acha hasira, lol
 
Diamond anawaza mbali sana... Anajua Marry you bado inasumbua sana nchi za nje, hivyo hizi nyimbo ametoa kupunguza kiu ya mashabiki tu, ila naamini kuna kitu kikubwa anaandaa ila muda wake bado... by the way nyimbo nzuri!
Mawazo mgando
 
Toa ushahidi mkuu ama tuendelee kuamini kuwa inasadikika!
 
tuombe mungu aachie kitu soon cha kuwazima wakina davido,roho inaniuma sana kuona wale jamaa wanatupiga gape wakati walikua level moja tu na diamond
Lini hiyo mkuu?

Mi no shabiki wa Dai kinoma ila sikumbuki kama waliwahi kuwa sawa...

DAVIDO alipofanya collabo Diamond alikuwa ndio the best in Africa... Davido wa 2013-2014 alikuwa on fire sana..
Dai akikaza anaweza kufika ila
 
Diamond aliacha kupiga nyimbo nzuri kitambo ila hamjagundua tu,zile tungo zake tamu za kusisimua ambazo ukichukua mistar kadhaa mle unaweza mlainishia demu anayekusumbua aliachana nazo kitambo sana,siku hz anafanya mziki WA biashara unaosukumwa na promo kubwa za nguvu na featuring za wasanii wakubwa.hata huu wimbo unaosema mbaya leo upe miez miwili mitatu hv,utapigwa kila kona mpaka utajikuta unaupenda na kuuona mzuri.huyo ndio diamond mfanyabiashara ya muziki.
 

Nimemtaja Diamond kwamba anaweza kuandaa show sababu nimekuona anauwezo na anamashabiki wengi na management nzuri kulinganisha na hao wengine ambao hata Lady Jaydee anaweza andaa show yake na akawafunika mbaya kwa kujaza nyomi.

Sina nia mbaya ni mawazo tu natoa ya kuzidi kumuongezea kipato Diamond kwamba management yake haiwezi kashindwa kukodi uwanja wa sokoine na kupeleka matangazo radio za mbeya halafu wakapiga show na kuondoka na mkwanja wao wa maana ,sio lazima kaka uwaze milioni 200 au 100 hata milioni 20 zinamtosha (sio mwanamahesabu hivyo sijui uwanja unaweza ingiza mashabiki wangapi labda kwa 10,000) .

Sio lazima Diamond ategemee promoters kama kina young dee yeye mwenyewe anajiuza.Sijui kama umepata point yangu
 
Davido kakaa mwaka mzima hadi kuja kutoa hit song! Hata Davido Fall na If Ni kile kile so Kwa Diamond kuna Mazuri yanakuja Hana Tabia ya kushuka
 
Uzi huu ni sehemu ya ule wa mashabiki wa Ali Kiba tukutane hapa. Napita tu.
 
Ni wakati sasa kundi la kwanza unit kurudi kuwatiabsomo hawa madogo
 
Alisema baada wiki 3 anatoa dude international
Davido pumzi za international (world wide) zishakata n mwenywe alishasema f***k international maana halifanya ngoma n meek mill ikaja n Tinashe zote hazikumfikisha popote

Wiz Kid huyu ndo yupo international sasa ivi hata kwny website za marekani unakutana na ngoma ya wiz kid km leo kaachia kitu kinaitwa kingine ft Major laizer Naughty ride bado ile closer ft drake inasumbua uku pembeni ana african girl ft chris brown kumfikia ina hitaji juhudi sana
 
Davido kakaa mwaka mzima hadi kuja kutoa hit song! Hata Davido Fall na If Ni kile kile so Kwa Diamond kuna Mazuri yanakuja Hana Tabia ya kushuka
Nategemea kuna mazuri mengi yanakuja kutoka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…