Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Kwa Maelezo zaidi Nenda Bank mkuu, kuna Idara za Mikopo utapatiwa hayo maelekezo yote na namna ya kufanya ili upate Hela,.
Bank nzuri ni ipi kati ya NMB, NBC na CRDB
 
Kila mkopeshaji ana utaratibu wake ndio maana wadau wengi wanakwambia utembelee bank za mikopo.

Binafsi nilikopa bank flani kiwanja hakikupimwa na akikua na hati lakini nilivuta m10.
 
Huwezi pata mkopo benk kwa kiwanja
Dhamana ya benki ni kiwanja kilichoendelezwa( chenye jengo hata kama halijaisha).
Kama hujaendeleza kiwanja chako usijisumbue kwenda huko utapoteza muda wako
Ndio maana nikataka miongozo kwanza
 
Dogo Kuna mtu anahitaji kiwanja , je unaweza kuwa dalali ukamtafutia huko mwasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…