Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Kila mkopeshaji ana utaratibu wake ndio maana wadau wengi wanakwambia utembelee bank za mikopo.

Binafsi nilikopa bank flani kiwanja hakikupimwa na akikua na hati lakini nilivuta m10.
 
Huwezi pata mkopo benk kwa kiwanja
Dhamana ya benki ni kiwanja kilichoendelezwa( chenye jengo hata kama halijaisha).
Kama hujaendeleza kiwanja chako usijisumbue kwenda huko utapoteza muda wako
Ndio maana nikataka miongozo kwanza
 
Dogo Kuna mtu anahitaji kiwanja , je unaweza kuwa dalali ukamtafutia huko mwasonga
 
Back
Top Bottom