Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Relax..biashara hagombi! Nimeweka tu tangazo la wadhamini, ila hapa utapata na usiyohitaji, muhimu tafuta legal officer yeyote mwenye uelewa wa mambo ya kibenki atakupa muongozo mzuri
Hapo sawa ahsante kwa ushauri
 
Naona wanakushauri kwenda benki.... Kiwanja pekee hakitoshi kukupa mkopo kwenye taasisi rasmi Kama benki.... Chanzo chako Cha kipato kitaamua upate mkopo kiasi gani na kiwango Cha marejesho.
Nmebaki nashangaa bank gani hyo.
 
Naona wanakushauri kwenda benki.... Kiwanja pekee hakitoshi kukupa mkopo kwenye taasisi rasmi Kama benki.... Chanzo chako Cha kipato kitaamua upate mkopo kiasi gani na kiwango Cha marejesho.
Dhamana inakuwa kiwanja au biashara
 
Dhamana ni kiwanja sio biashara
Kigezo namba moja kinachoangaliwa kwenye mkopo ni biashara unayoifanya na ustawi wake ukoje, note lengo la kukukopesha ni wewe urejeshe hela bila inconvenience yoyote... dhamana huwa kitu cha baadae sana kuzingatiwa.

Haya nenda bank sasa uwaambie wewe una miliki kiwanja chenye thaman ya 100m unataka mkopo wa 3m halafu Huna biashara yoyote uone kama watakupa mkopo.
 
Back
Top Bottom