Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Kiwanja kina thamani kuliko gari mkuu
 
Chuo cha kilimo nyuma mkabala na ile lodge kali iliyojengwa nyuma ya chuo cha kilimo, kiwanja kinatazamana na kile kigorofa cha yule sijui mwanajeshi wanasema ni mdada
Anhaaa pale mbele kile kisenta nina kiwanja pale.. ni eneo zuri jamaa atie hela ila kwa ukubwa huo si kama umemuuzia tu?
 
Anhaaa pale mbele kile kisenta nina kiwanja pale.. ni eneo zuri jamaa atie hela ila kwa ukubwa huo si kama umemuuzia tu?
Mkuu pale siuzi hata kwa dawa nimeenda mwezi wa kumi mwaka jana pamebadirika sana hitaji langu ni kupata mkopo ila bank wana mashart mengi sana

Kwa wasioijua mwasonga
 
Attachments

  • IMG_20230129_111428_271.jpg
    IMG_20230129_111428_271.jpg
    1 MB · Views: 3
Hakijapimwa na serikali mkuu vipi wanaweza nikopesha
Mheshimiwa usikubali kudanganywa. Hakuna benki inayotoa mkopo kirahisi tu kwa dhamana ya kiwanja! Kule wanatoa mkopo kwa dhamana ya nyumba, na hapo unatakiwa uwe na biashara hai yenye leseni ya biashara na tax clearance kutoka TRA.

Kama vipi uza hicho kiwanja, upate pesa ya kutatua changamoto zako. Ukitulia, utanunua kiwanja kingine. Nchi yetu ni kubwa sana. Viwanja havijawahi kuisha kwa watu wenue pesa zao.
 
Mheshimiwa usikubali kudanganywa. Hakuna benki inayotoa mkopo kirahisi tu kwa dhamana ya kiwanja! Kule wanatoa mkopo kwa dhamana ya nyumba, na hapo unatakiwa uwe na biashara yenye leseni ya biashara na tax clearance kutoka TRA.
Ahsante mkuu nimeenda kuthibitisha mwenyewe ni kweli uyasemayo sasa nifanyeje kiongozi wangu nipate mkopo
 
Ahsante mkuu nimeenda kuthibitisha mwenyewe ni kweli uyasemayo sasa nifanyeje kiongozi wangu nipate mkopo
Nimetoa ushauri mwingine kwenye hayo maelezo yangu. Fanya tu mchakato utafute mteja ukiuze hicho kiwanja. Ukiingia kwenye mikopo ya moto, utapewa hela kidogo na kiwanja nacho utawaachia baada ya kishindwa kupeleka marejesho yote.

Ukitulia utanunua kiwanja kingine.
 
Siku zote ukitangaza kuuza kitu bei inakuwa ndogo kuliko ulionunulia ngoja tu nipambane to the last breath
 
Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo

Note: isiwe hizi microfinance
Njoo nikupe hiyo mil 3, riba laki 6 kwa mwezi.
Ukishindwa kurudisha mil 3 na laki 6 kiwanja kunakuwa changu.
Mkataba tuaandikishana umekopa 3 na laki 6 bila kuonesha mambo ya riba.
Kama uko tayari pm niko na cash.
 
Back
Top Bottom