Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #81
NBC wanataka TIN na leseni na mali isiyohamishika yaani nyumba sio kiwanja pamoja na bank statement hapo nimekwama aiseeeKigezo namba moja kinachoangaliwa kwenye mkopo ni biashara unayoifanya na ustawi wake ukoje, note lengo la kukukopesha ni wewe urejeshe hela bila inconvenience yoyote... dhamana huwa kitu cha baadae sana kuzingatiwa.
Haya nenda bank sasa uwaambie wewe una miliki kiwanja chenye thaman ya 100m unataka mkopo wa 3m halafu Huna biashara yoyote uone kama watakupa mkopo.