Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Wadau bado sijapata msaada nahitaji 3m dhamana yangu ni kiwanja kipo kigamboni
 
Wadau bado sijapata mkopo ninaouhitaji niwezesheni wadau
 
Kwa hiyo pesa unayohitaji na ukubwa wa kiwanja chako huwezi kupata hiyo hela, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…