Nipo kwenye tasnia ya waste material nina mkataba wa miaka 4 mikoa tofauti nakutana na malighafi mbalimbali ikiwemo vyuma chakavu, Paper waste, plastic waste n.k nimeanza hatua ya kwanza kufatilia uanzishwaji wa small recycling industry pamoja na production kwa baadhi ya bidhaa,.Nahitaji mdau ambae yupo serious tukutane kwaajili ya mpango kazi.
1. Naomba kujua ni product gani zingine naweza kutoa ukilinganisha na waste ninazokutana?
2. Vipi kuhusu mbolea kwenye upande wa uozo wa machakula
3. Machines za kuchakata ni njia gani rahisi ya kuzipata nina roughly budget tayari kutoka kwa mchina mmoja japo hawa jamaa nao wanakautapeli na upigaji hasa kwa mimi ignorance nakwepaje hilo?
4. Kampuni ipo imesajiriwa kisheria ni swala la kuongeza busness line.
5. Vipi kuhusu uchakatwaji wa Majitaka mwenye uelewa.
MSAADA WAKUU MWENYE UELEWA NIPO TAYARI KUSAHIHISHWA NA KUONGOZWA NJIA.