Napatwa na hasira na munkari nikiona mwanaume amevaa hereni

Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .

Mkuu ukiwa nao karibu kayaavute hayo mahereni. [emoji28]
 
Baki huko huko Tanzania.

Wengine tulipokuja nchi za watu tulikereketwa mpaka tulipojitambua ta kuwa, mambo ya watu ni ya kwao.

Kila mtu aishi maisha yake anavyojisikia.

The fact is, huwezi kubadilisha chochote. Na zaidi, haikupunguzii chochote pia.
 
Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Kaa nao mbali tu mkuu, sasa sijui ukikutana na wa mchele mchele utajiskiaje?
 
Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .

Hii hasira unaipoteza, peleka ku solve matatizo yako, hao wenye hereni hawana shida kama ulizo nazo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…