Napatwa na hasira na munkari nikiona mwanaume amevaa hereni

Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.

Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Hasira za nini, wale wako biasharani....wanataka kutongozwa na kushikishwa ukuta, jaribu kuwatongoza na kuwashikisha adabu ili waache hiyo tabia.
 
Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.

Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Hata wamasai na Wasudan kusini nao ukiwaona unashikwa na "munkari"?
 
Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.

Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Binafsi Tabia ya BinAdam jinsia ya kiume kuvaa hereni inanifikilisha sana.Tuna copy na kupesti.
 
Yes kanisa linapokea wenye dhambi ili waache dhambi,kuna kosa ulitaka kanisa liwauwe na utauwa wangapi kanisa limejitenga na wanafika wanao kemea ushoga huku nyumbani kwao wakifila na kufilwa.
Hapo sasa,
 
ENZI ZA WATOTO WALIOLELEWA NA BABA NA MAMA ZIMEISHA PITA 1960-1990)
TUKO KWENYE ZAMA ZA WATOTO WA MAMA PEKEE (2000-2100)
AMBAPO MTOTO WA KIUME
-ANASUKA NYWELE
-ANAFUGA KUCHA MOJA NDEFU, KUPAKA RANGI KUCHA
-ANA CHONGA NYUSI NA KUWEKA BREACH KICHWANI
-ANAVAA KAPTULA FUPI NA KUKATIZA KTKT YA WANAUME BILA AIBU
-ANAJICHUBUA SURA, KAMA NABII MKUU
-ANATOBOA PUA NA MASIKIO NA KUWEKA PIN NA HERENI

CHINA SASA HIVI WANAKUJA NA PEDI ZA KIUME, JIPANGENI JITAFUTENI, JIREMBENI.
#SISI YETU MAPUMB..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anajichubua sura kama Nabii Mkuu [emoji119][emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom