Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hasira za nini, wale wako biasharani....wanataka kutongozwa na kushikishwa ukuta, jaribu kuwatongoza na kuwashikisha adabu ili waache hiyo tabia.Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .