Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Basi amechelewa kupata taarifa, walio karibu yake bado hawajamsaidia. Mbona hili liko wazi siku nyingi, ili afanikiwe anahitaji kuondokana na watu kadhaa waliopo karibu yake maana hao ni nyoka wenye sumu kali.Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Aisee, wanamdharau sana hadi naona aibu.Basi amechelewa kupata taarifa, walio karibu yake bado hawajamsaidia. Mbona hili liko wazi siku nyingi, ili afanikiwe anahitaji kuondokana na watu kadhaa waliopo karibu yake maana hao ni nyoka wenye sumu kali.
Sijui kama mtoto wa namba 4 kama atanusurika.Basi amechelewa kupata taarifa, walio karibu yake bado hawajamsaidia. Mbona hili liko wazi siku nyingi, ili afanikiwe anahitaji kuondokana na watu kadhaa waliopo karibu yake maana hao ni nyoka wenye sumu kali.
Hivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??Basi amechelewa kupata taarifa, walio karibu yake bado hawajamsaidia. Mbona hili liko wazi siku nyingi, ili afanikiwe anahitaji kuondokana na watu kadhaa waliopo karibu yake maana hao ni nyoka wenye sumu kali.
Nape Nnauye ya kweli haya?Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Hapa umemgusa Mguu wa Chemba washambaa wanaita hivyo Ila yeye anaitwa Dr. Mwigulu NchembaHivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??
Kweli sasa hivi nimekua . Rais wa mawe 🤣🤣🤣 alichafua tu huyuHivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??
I wish angejua hili, yule siyo mtu wa kumkumbatia.Hivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??
kwahiyo kwasababu alijua ataliwa kichwa, anataka watu waamini kwamba ameliwa kwasababu amesema? kama inakuja hivi.Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Mtawala wa mawe yote nchini mitoni na ardhini mwamba kabisa huyu au naongea uongo chawa mwenzangu unayesifia msafara wa raisi Lucas MwashambwaKweli sasa hivi nimekua . Rais wa mawe 🤣🤣🤣 alichafua tu huyu
Tena huyu ndo aanze nae mapemaa.Hivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??
Huenda washauri nao wanamuwinda. Unaambiwa huyu Rais anayemtetea barazani ni Mchengerwa tu. Tumwombe Mungu nchi hii isipasuke. Kuna watu ni WACHU WA MADARAKA NA WAMEJAA DHARAU.I wish angejua hili, yule siyo mtu wa kumkumbatia.
Na anamchukua hakupaswa kabisa kumuweka jikoni,pale anazidi kujijazia minyama ya akiba kwa msimu wa njaa.
Namsikitikia sana Mama kwenye hilo hapo.
Sijui wanaomshauri hawaoni ama wana nia mbaya nao 😩😩
Hawezi kutolewa system imeoza, na hayo ndiyo huwa wanajadili Baraza zima la mawaziriIko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
😭😭Huenda washauri nao wanamuwinda. Unaambiwa huyu Rais anayemtetea barazani ni Mchengerwa tu. Tumwombe Mungu nchi hii isipasuke. Kuna watu ni WACHU WA MADARAKA NA WAMEJAA DHARAU.
Ndiyo maana yake. Ana akili mno.kwahiyo kwasababu alijua ataliwa kichwa, anataka watu waamini kwamba ameliwa kwasababu amesema? kama inakuja hivi.