macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wanajua hana uwezo. Mimi Makamba simkubali kabisa lakini mama ni rais mbovu kupata kutokea. CCM wamwengue waweke hata BashiruAisee, wanamdharau sana hadi naona aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua hana uwezo. Mimi Makamba simkubali kabisa lakini mama ni rais mbovu kupata kutokea. CCM wamwengue waweke hata BashiruAisee, wanamdharau sana hadi naona aibu.
Kwa Uzamwamwa wa Nchi hii na Watu wake,Hakika hata Mimi sitashangaa.Sitashangaa Nape kuteuliwa kuwa Mkuu wa Tume ya Uchaguzi. Sitashangaa...
Dr. Mwigulu Nchemba ya kweli haya?Hivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??
Lakini ndio kamuweka patamu mchora mawe, yaani kwenye chungu kabisa. Ina maana hakuliona hilo?Hivi SSH anaweza kushindwa kabisa kujua kuwa raisi wa mawe ni joka Tena anamuwinda kumtafuna mapema mwakani??
Ni mhusika pia wa mchezo mchafu?Sijui kama mtoto wa namba 4 kama atanusurika.
Wengi bado hawajapata habari hizi za uhaini ndani ya baraza.Huu ndio UKWELI Hasa.
Sina uhakika sanaNi mhusika pia wa mchezo mchafu?
List them by dots11 People are here 😂
wengine hao ndio walimuweka kitini inabidi tu aishi nao. Sasa washamblackmail sio rahisi kihivyo. 17 march ina mengi.I wish angejua hili, yule siyo mtu wa kumkumbatia.
Na anamchukua hakupaswa kabisa kumuweka jikoni,pale anazidi kujijazia minyama ya akiba kwa msimu wa njaa.
Namsikitikia sana Mama kwenye hilo hapo.
Sijui wanaomshauri hawaoni ama wana nia mbaya nao 😩😩
Ukionja nyama ya mtu hutoiacha. Naye watamuondoa.wengine hao ndio walimuweka kitini inabidi tu aishi nao. Sasa washamblackmail sio rahisi kihivyo. 17 march ina mengi.
aaahhhhhhaaaaaaahhhh, duuuhhWataacha kumdharau wakati ana wa address kama wanangu?
Mwanangu Nape, mwanangu January au we mwanangu Mwigulu?
Nao wanamwita "mama" huku mioyoni mwao wanajisemea "wewe ni mama yetu wapi na wapi bana"
Iko kama naihisi hiyo harufu kwa mbaaali!Kwa upande wangu namchukulia Nape kama "Yohana mbatizaji" anaonesha njia, ila kwa upofu wetu tunadhani amepotoka.
porojo tu hizoIko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Kwani huyo unaemsikitiki ana nini cha maana anachokifanya hapo kitini?I wish angejua hili, yule siyo mtu wa kumkumbatia.
Na anamchukua hakupaswa kabisa kumuweka jikoni,pale anazidi kujijazia minyama ya akiba kwa msimu wa njaa.
Namsikitikia sana Mama kwenye hilo hapo.
Sijui wanaomshauri hawaoni ama wana nia mbaya nao 😩😩
Kiburi.... Mungu atamshusha.Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.