Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

I wish angejua hili, yule siyo mtu wa kumkumbatia.
Na anamchukua hakupaswa kabisa kumuweka jikoni,pale anazidi kujijazia minyama ya akiba kwa msimu wa njaa.
Namsikitikia sana Mama kwenye hilo hapo.
Sijui wanaomshauri hawaoni ama wana nia mbaya nao 😩😩
wengine hao ndio walimuweka kitini inabidi tu aishi nao. Sasa washamblackmail sio rahisi kihivyo. 17 march ina mengi.
 
Wataacha kumdharau wakati ana wa address kama wanangu?
Mwanangu Nape, mwanangu January au we mwanangu Mwigulu?
Nao wanamwita "mama" huku mioyoni mwao wanajisemea "wewe ni mama yetu wapi na wapi bana"
aaahhhhhhaaaaaaahhhh, duuuhh
 
I wish angejua hili, yule siyo mtu wa kumkumbatia.
Na anamchukua hakupaswa kabisa kumuweka jikoni,pale anazidi kujijazia minyama ya akiba kwa msimu wa njaa.
Namsikitikia sana Mama kwenye hilo hapo.
Sijui wanaomshauri hawaoni ama wana nia mbaya nao 😩😩
Kwani huyo unaemsikitiki ana nini cha maana anachokifanya hapo kitini?
 
Back
Top Bottom