Nape amkana Kinana

Nape amkana Kinana

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,340
Reaction score
12,055
Katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Nape kapingana na katibu wake ambaye hapo awali alidai kuwa wanaitisha kikao cha dharura kuijadili rasimu ya katiba mpya kwa maana hawajakubaliana nayo kama chama. Lakini Nape kadai yeye alishasema kuwa anakubaliana na rasimu hiyo na alishawapongeza kina Jaji Warioba kamalizia kuwa hayo maneno ya kutokubaliana nayo ni ya mitaani kwa vile yeye ndo msemaji wa chama chao.

Source: BBC

--------------------- Ufafanuzi wa Ndg Nape Nnauye.

Kinana alichosema ni kuwa si rahisi kutengeneza Katiba itakayo mridhisha kila mtu hivyo CCM kama chama yatakuwepo tunayoyaunga mkono na mengine tunaweza kuwa na ushauri tofauti lakini tusibiri kikao cha Kamati Kuu kinakutana jtatu tutakuwa na msimamo wa taasisi. Namimi nikarudia hapo hapo. Nilichosahihisha ni dhana kuwa CCM inapinga rasimu mia kwa mia, sio sahihi! CCM haipingi rasimu ya Katiba bali inaweza kuwa na maoni tofauti kwa baadhi ya mambo!
Nape
 
KATIBA SIO MALI YA CCM WALA CHADEMA NI MALI YA WATANZANIA,MBONA MNATAKA TUTUKANE TUPIGWE BAN NYIE WANA SIASA?.KUWENI SERIOUS YEYOTE AMBAYE A TAPINGA RASIMU HII KWA LENGO LA KUIBOMOA TUTAPAMBANA NAE HATA KAMA NI CHADEMA ..a
 
Hata mimi nimemsikia.Akasema kuwa maneno ya Kinana ni ya mtaani na si msimamo wa chama! Nape hakuongea kwa staha hata kidogo. Kiukweli,mambo si shwari ndani ya chama changu. Tunahitaji dua zenu Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Nchi ni wewe na mimi vyama vitazaliwa..... vitakufa
 
Hata mimi nimemsikia.Akasema kuwa maneno ya Kinana ni ya mtaani na si msimamo wa chama! Nape hakuongea kwa staha hata kidogo. Kiukweli,mambo si shwari ndani ya chama changu. Tunahitaji dua zenu Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kati ya Kinana na Nape nani kiongozi wa mwenzake. I thought Nape was answerable to Kinana? If that is the case how dare Nape utter those words. Chama kinapoteza mwelekeo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kamati kuu ya ccm kukutana kujadili rasimu ndo nini! ina maana inataka kuwa influence wanachi kuhusu hiyo rasimu? ninachojua katiba itajadiliwa kwenye mabaraza ya katiba haiwezekani chama kikurupuke na kusema hadharani kuwa haikubali rasimu. ingawa huwa nampinga Nape wakati fulani hapa yuko sahihi na Kinana kakurupuka. kinana angetoa maoni yake binafsi kama alivyofanya Sumaye
 
Wamechoka sana hawa,watuachie katiba yetu tuitengeneze wenyewe ..katiba hii si ya CCM
 
KATIBA SIO MALI YA CCM WALA CHADEMA NI MALI YA WATANZANIA,MBONA MNATAKA TUTUKANE TUPIGWE BAN NYIE WANA SIASA?.KUWENI SERIOUS YEYOTE AMBAYE A TAPINGA RASIMU HII KWA LENGO LA KUIBOMOA TUTAPAMBANA NAE HATA KAMA NI CHADEMA ..a

Mkuu punguza munkari kidogo maanake Ban zinatembea balaa.
 
Wacha wavurugane tu maana kwanza ndio vizuri.......
 
Hata mimi nimemsikia.Akasema kuwa maneno ya Kinana ni ya mtaani na si msimamo wa chama! Nape hakuongea kwa staha hata kidogo. Kiukweli,mambo si shwari ndani ya chama changu. Tunahitaji dua zenu Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
ha ha ha ha ha mnahitaji dua zetu! Nimecheka kweli.
 
Vilaza wote na chama chao wafuasi wameshaathirika hata wewe unaekipenda
 
Kinana alichosema ni kuwa si rahisi kutengeneza Katiba itakayo mridhisha kila mtu hivyo CCM kama chama yatakuwepo tunayoyaunga mkono na mengine tunaweza kuwa na ushauri tofauti lakini tusibiri kikao cha Kamati Kuu kinakutana jtatu tutakuwa na msimamo wa taasisi. Namimi nikarudia hapo hapo. Nilichosahihisha ni dhana kuwa CCM inapinga rasimu mia kwa mia, sio sahihi! CCM haipingi rasimu ya Katiba bali inaweza kuwa na maoni tofauti kwa baadhi ya mambo!
Nape

Katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Nape kapingana na katibu wake ambaye hapo awali alidai kuwa wanaitisha kikao cha dharura kuijadili rasimu ya katiba mpya kwa maana hawajakubaliana nayo kama chama. Lakini Nape kadai yeye alishasema kuwa anakubaliana na rasimu hiyo na alishawapongeza kina Jaji Warioba kamalizia kuwa hayo maneno ya kutokubaliana nayo ni ya mitaani kwa vile yeye ndo msemaji wa chama chao.
Source: BBC
 
  • Thanks
Reactions: Paw

CCM kawaida yao kupishana kauli,si unakumbuka issue ya posho na Bunge kurushwa moja kwa moja,kila mmoja na kauli zake..
 
Katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Nape kapingana na katibu wake ambaye hapo awali alidai kuwa wanaitisha kikao cha dharura kuijadili rasimu ya katiba mpya kwa maana hawajakubaliana nayo kama chama. Lakini Nape kadai yeye alishasema kuwa anakubaliana na rasimu hiyo na alishawapongeza kina Jaji Warioba kamalizia kuwa hayo maneno ya kutokubaliana nayo ni ya mitaani kwa vile yeye ndo msemaji wa chama chao.
Source: BBC

Huyo siku zote hanaga AKILI WALA AIBU kila kitu kwake ni KUKANUSHA TU. Siku zote mabosi wake wakiongea kitu yeye huona wamekosea.
 
Kinana alichosema ni kuwa si rahisi kutengeneza Katiba itakayo mridhisha kila mtu hivyo CCM kama chama yatakuwepo tunayoyaunga mkono na mengine tunaweza kuwa na ushauri tofauti lakini tusibiri kikao cha Kamati Kuu kinakutana jtatu tutakuwa na msimamo wa taasisi. Namimi nikarudia hapo hapo. Nilichosahihisha ni dhana kuwa CCM inapinga rasimu mia kwa mia, sio sahihi! CCM haipingi rasimu ya Katiba bali inaweza kuwa na maoni tofauti kwa baadhi ya mambo!
Nape

NAPE kwanini wewe umekua mwepesi sana wa kukurupuka kwa kila kinachotokea ndani ya chama chako? Kwanini hujifunzi? Kwako kila kitu nikukanusha inamana ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiri au ndio siasa zimekukataa kabisa. Lini utajengeka KIAKILI NA KISIASA AU KWASABABU MSHAJUA HAMNA CHENU 2015.
 
Back
Top Bottom