Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

Roma ni shujaa, hata iwe vipi roma ni wa kupigwa mstari.
 
Iv yule jamaa mwenyekit wa usalama mkoa wa dar amesha ongelea hili kwel?
 
atapotea hvyo hvyo kama saanane..watu wataongea after one months wanasahau...kama sa8 alivyopotezwa
Hapana mkuu, damu ya binadamu huwa haipotei bure hasa kwa mtu asiyekuwa na hatia ni suala la muda tu huwa ni mwalimu mzuri sana.
Vitu vingine huwa ni kujitafutia tu malaana.
 
yule RC anayeteka studio na polisi wa ikulu ndio suspect wa kwanza maana uyu tayari imeonesha ndio tabia zake kuteka watu.
 
Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!


mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Tumieni akili hata kidogo jamani!! Yaani idara zetu za isalalama zishindwe kabisa kujua kuwa kuna hujuma kama hizi!!??
 
Tuheshimiane mkuu maana hunijui na sikujui. Nimeandika kulingana na kile ninachokifahamu. Miziki ya hawa vijana naisikia sana lakini siwafahamu kwa kina. Inapotokea hali kama hii nafuatilia kwa kina maana hata juzi swala la ney nilifanya hivihivi. Ila ingekuwa zile enzi za Bima Lee au OSS nisingeuliza. Nadhani umenielewa.
hahahahaaaa sasa unakasirika nini sasa kwani wabana pua ni kina nani mpaka ukasirike??? nilimaanisha Bima lee
 
Back
Top Bottom