Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

ETI KIKI INATENGENEZWA ILI BASHITE AUZE SURA KWAMBA YEYE NI SHUJAA AISE SIJAPATA KUONA DUNIANI
 
Nape anajua kinachoendelea, ni mtu ambaye amedili na mfumo kwa mda mrwfu, kumuona tena roma haitakaa itokee ama mkimuona mjue ni kichaa
 
Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!! mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Kama alivyofanya Albert Daud Bashite Clous FM...@waberoya mdogo wangu umekula maharage ya wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leta defender/Leta wajeda/
Leta wagambo Roma nimejitoa sadaka/
na mkitaka kuniua hakikisha sifii hapa/
Nichinjeni mkanitupe daraja la Mkapa /


Viva Roma vivaaaa
Vivaaaa roma vivaaaa aa eeeh

Bendera Bendera [emoji445][emoji445][emoji445]
Kumbe alijua....mtoto akililia wembe mpe...
 
Mfano,Sikumbuki vizuri wale waislam waliochinjwa mwanza mskitini kama watu walitweet sana!....tuache doublestandards ndipo hizi harakati zitaonekana za maana...wanadamu wote tuna thamani sawa!.
 
Hivi nape bado ni waziri?,ua nimeisoma ki bashite uzi huu?
 
Na Makonda lipotangaza wauza madawa wako wengi polisi, mkamwona mbaya!!
Mkuu, hawa hawajielewi, waliweza kusema kuwa mzee Ngoyai ni fisadi halafu hao hao wakapiga deki barabara kule Mwanza, maana yake ni rahisi sana kushikiwa akili.
 
Mungu atupe uvumiliv ktk.kipind hik kigumu,hali ni mbaya kiusalama.
 
Lilianza kidogokidogo,kujivua upolisi,likawa policcm ss limekua boko haramu ! Co police wa wananchi tena.
 
Leta defender/Leta wajeda/
Leta wagambo Roma nimejitoa sadaka/
na mkitaka kuniua hakikisha sifii hapa/
Nichinjeni mkanitupe daraja la Mkapa /


Viva Roma vivaaaa
Vivaaaa roma vivaaaa aa eeeh

Bendera Bendera [emoji445][emoji445][emoji445]
Hamna kitu vijana wa prison break na city hunter wanapatikana wa ngozi nyeupe hi nyeusi bado sana kwa kupiga doma aaaa hatujambo
 
Haishangazi sana.....Nape ni shahidi, ingekuwa ni uchochoroni sa hizi huenda nae angekuwa kapotea/kapotezwa?????
 
Nimeukukmbuka sana ule msemo wa yule mchungaji wa Ujerumani. Linalowapata wapinzani leo, linaweza kumpata asiye mpinzania siku yoyote.
 
Ni mapema sana kufahamu nani yuko juu ya upoteaji wa wanamuziki.
Isije ikawa ni njama ya kundi fulani kutafuta
msaada wa kupaza sauti kupitia sanaa au kundi lingine kutumia mwanya huo kufutilia mbali kile kinachoitwa muziki wa uhanarakati.
Lakini pia wasanii/msanii mwenyewe anaweza kujiteka/kujificha ili tu aurejeshe umaarufu wake
uliopotea ili atakapotoa wimbo apate atension/kiki.
Ni vyema tukavuta subra na kuchunga mdimi zetu
kwani lolote lawezekana.
Kaulize Clouds Media
 
Le-mutuz kwan sasa anaishi nyumbani kwa makonda ametoa siri kuwa jumapili Roma ataonekana ni vyema wattu waandamane kwenda nyumbani kwao Le-mutuz wakamchane live
 
Back
Top Bottom