Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

2nakokwenda Siko ndiko! 2siish kama Rwanda,kagame ndo anaemdanganya namna ya kuendesha nchi, Nyerere hakuacha maadil kama haya hata kama aliyafanya by then kulikuwa na gza nene tena totoro ambapo n vgum m2 kupata taarifa on the spot like nowadays! challenges among of indicator to pave way forward and to arase makes made!
 
Inasemekana roma katoa wimbo mpya unaomwelezea mtukufu je ni kweli kama kuna mtu ana huo wimbo auweke hapa kama ni kweli
 
Hali ya tanzania kwa sasa ni ya kuripoti UN security Council, dunia ijue nini kinaendelea Tanzania. Hawajui ndiyo hata jana balozi wa EU alionekana happy with Tanzania which is contrary to EU human rights policy!
yaelekea huna exposure na yanayoendelea dunian
 
Huyu jamaa kuna uwezekano asipatikane akiwa salama kwasababu wakitaka kumuacha huru kwakumpa masharti yakutosema kilichotokea,atasa kwa umma na hivyo kuleta shida kwa watekaji.Hivyo nahitimisha kwakusema kua Mungu asaidie apatikane salama kwa fikra za watekaji na waliowatuma kubatilishwa.
 
Guys.... Just like Ben Wa Saanane went missing... I guess it is the same fate Roma Mkatoliki and Co. have gone through. We may have to start counting days as we did for Ben and end up forgetting them completely.

In short.... I have a dream that someone with power on top is behind all these abductions...... And who knows..... Assassinations!!!
 
Wewe itakuwa ni mbana pua tu
Tuheshimiane mkuu maana hunijui na sikujui. Nimeandika kulingana na kile ninachokifahamu. Miziki ya hawa vijana naisikia sana lakini siwafahamu kwa kina. Inapotokea hali kama hii nafuatilia kwa kina maana hata juzi swala la ney nilifanya hivihivi. Ila ingekuwa zile enzi za Bima Lee au OSS nisingeuliza. Nadhani umenielewa.
 
Na hilo pambo linalobadili kwa Nape linasemaje? Linaendelea ku-band tu kwa nduli?
 
Na hilo pambo lililobadili kwa Nape linasemaje? Linaendelea ku-band tu kwa nduli?
 
Kitu ambacho nashukuru katika maisha ni sijawahi ipenda ccm toka nimekuja duniani
 
Nilisha chibwa sana mkwala najumbe za vitisho,
Ila siamini huu msafala ni vibaraka wa BASHITE,

Viva Roma viva
 
Dunia ni sehemu nzuri sana, nimeikumbuka hadithi (kwenye Biblia) ya yule mtu tajiri sana aliyekula na kunywa huku Lazaro akiteseka na kula makombo ya mbwa. Namfananisha na bwana huyu leo. Huyu bwana enzi zile, enzi zake, kuna ambao wanaugulia kwa matendo yake hadi leo. Leo baada ya ulimwengu hule kupita naye anatamani siku zile asingewatesa "akina Lazaro". Anajitahidi kujutia kwani ashauona ulimwengu ambako hakika hapastahili. Katika hari ya hhivi mwanadamu una jukumu moja tu, kutubu kwa uliowahenyesha.

Dunia ni chuo chikuuuuu! Hongera Nape na pole sana kwa kuwahurumia
 
hiyo mistari ni upanga usioisha makali kwa utawala wowote dhalimu . hata kama watampoteza ROMA kazi zake zitaishi milele na kubaki kielelezo kinachomuonyesha namna alivopinga utawala wa kiimla , kizandiki na kidhalimu. we want roma free
 
Screenshot_2017-04-07-18-01-49-1.png
 
Kukaa kimya kwavcloudbs leo imetokea nyingine alisema mengi kukaahuku kimya kutazaa mengine
 
Back
Top Bottom