Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
na wala sio jeshi la polisi"polisi" Unajua Wewe Mimi Naongelea "Jeshi la Polisi" Kuna Tofauti Kubwa Sana Hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wala sio jeshi la polisi"polisi" Unajua Wewe Mimi Naongelea "Jeshi la Polisi" Kuna Tofauti Kubwa Sana Hapo
Ben Saanane mlisema hivi na wengine kufikia kudai amejiteka mwenyewe!! Mwezi wa 5 sasa hakuna taarifa zozote!!Ni mapema sana kufahamu nani yuko juu ya upoteaji wa wanamuziki.
Isije ikawa ni njama ya kundi fulani kutafuta
msaada wa kupaza sauti kupitia sanaa au kundi lingine kutumia mwanya huo kufutilia mbali kile kinachoitwa muziki wa uhanarakati.
Lakini pia wasanii/msanii mwenyewe anaweza kujiteka/kujificha ili tu aurejeshe umaarufu wake
uliopotea ili atakapotoa wimbo apate atension/kiki.
Ni vyema tukavuta subra na kuchunga mdimi zetu
kwani lolote lawezekana.
Yapo mengi ya kuangalia. Mara nyingi polisi na sare zao wanapokwenda kukama watu hujazana kushuhudia tukio na huwa hawwafukuzwi na wakamatwaji huhoji uhalali wa kukamatwa kwao. Hapa nashangaa watu wasio na sare wanawateka na watekwaji awahoji wapi wanapelekwa na wamekamatwa kwa kosa gani.Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!
mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Mkuu mbona povu linakutoka hivyo matundu yote? Au mnashea Bwana na Bashite nini?Kumbe unajua ni kazi yao? sasa si uwaache wampate?? au kuna timelines/deadlines?
ujinga ni pale unapolaumu askari, na wao ndio suspects?? na umekaa tu mwaka mzima Ben kapotea mnakaa tu na kunyoosha yule anahusika
mkiambiwa wengi wenu si riziki mnaona mnatukanwa
wewe na kuandika kwenye keyboard huna uwezo wa kuandamana peke yako!! achilia mbali kuwakaumbusha akina mbowe na msigwa na Lissu!!
hata wewe ukipotea leo usitegemee Lissu, na mbowe watafanya lolote lile
mnaongea sana
sasa mkuu, si unawajua kuwa hao ndio suspects
then unafanya nini?? unasema tu yanaisha huku umejifungia na mke wako na watoto wako , au unafanya nini?
maana kwa akili za kawaida, ningetamani hao unaoita suspects ndio wafanye kazi, tena mkuu bila aibu unamwita bashite na Bwanaake?? seriously?? unajua mvute madawa lakini msifikie to this extent
haya ukiwa na kende zako mbili, mwaka sasa unakatika hatumuoni wala kumsikia Ben saa nane, na Roma atapotea hivi hivi na wewe kama umepaka lipstic kwenye midomo yako unasema suspect na yule na yule
get up! stand up!! lets do something acha ujinga
Anaonekana vijiwe vya kahawa kwa mujibu wa KUBENEAben yuko wapi?
Hivi awamu ya 5 inadhani itaua watanzania wangapi ?
Ikiwa leo ni siku ya pili tangu ilipotolewa taarifa kuwa msanii Roma Mkatoliki alitekwa na watu wasiojulikana akiwa pamoja na Moni Centrozone, mtayarishaji wa muziki wa Tongwe Records, Bin Laden katika studio za Tongwe Records, Waziri wa zamani wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemlilia msanii huyo.
Nape emetoa kilio chake kupitia ukurasa wake wa Twitter, akitumia maneno matatu pekee yanayosomeka kwa hisia za ndani kuwa ni mtu anayemlilia mpendwa wake.
“Roma! Oooooh No!” ametweet Nape.
Mbunge huyo wa Mtama ameongeza nguvu kwa kilio cha wadau wa muziki pamoja na wasanii waliotumia mitandao ya kijamii kushinikiza ifahamike alipo msanii huyo na wenzake.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa jana na uongozi wa Tongwe Records, watekaji walifika katika studio hizo na kuwahoji waliokuwepo, kisha kuondoka nao wote pamoja na baadhi ya vifaa vinavyotumika kurekodia muziki, kwenda kusikojulikana.
Mke wa Roma, Nancy ameeleza kuwa alifika katika vituo kadhaa vya polisi jijini Dar es Salaam kuulizia taarifa za mumewe, lakini alielezwa kuwa taarifa za Roma hazikuwepo.
Akizungumza kwa uchungu kwenye vyombo mbalimbali vya habari, Nancy aliwaomba Watanzania kwa ujumla pamoja na vyombo vya usalama kusaidia kufahamu alipo mumewe.
“Serikali, waandishi wa habari, Watanzania, yeyote aliyeona, aliyesikia, anayeweza kutusaidia Roma yuko wapi naombeni msaada wenu,” alisema.
Leo mchana, wasanii wamekutana katika studio za Tongwe Records kwa lengo la kuzungumzia suala hilo zito ambalo limevunja mioyo ya wadau wa muziki, familia na ndugu wa Roma na wenzake.
Nimeweka mods wameutoaHebu wekeni huo wimbo humu jukwaani
Hili lifanyike haraka sanaHali ya tanzania kwa sasa ni ya kuripoti UN security Council, dunia ijue nini kinaendelea Tanzania. Hawajui ndiyo hata jana balozi wa EU alionekana happy with Tanzania which is contrary to EU human rights policy!
kubenea n chombo cha usalama?Anaonekana vijiwe vya kahawa kwa mujibu wa KUBENEA
Wewe itakuwa ni mbana pua tuSijawahi kufuatilia kabisa kazi zake, baada ya tatizo hili ndo nahangaika kumfahamu huyu ndugu yetu aisee. Jina sio geni ila kazi zake ndo hivyo
Daaaah...!!! Mbona haya mambo kipind cha nyuma hayakuwepo kwann kipind hiki ndo yamekuwa yakitokea na hakuna anayechukua hatua stahiki si vyombo vya dola wala si viongozi wanaohusika na masuala haya...!!! Tunaelekea wapi watanzania...?????
In this case, nani amepose kama nani?Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!
mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine