GARETHBALE
Member
- Dec 22, 2013
- 76
- 333
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.
Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.
Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.
Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.
Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.
Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.
Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.