Nape amsaliti rasmi Benard Membe

Nape amsaliti rasmi Benard Membe

Achana na membe wako huyo wewe, hana lolote. Utakausha mate yote mdomoni lkn Membe hatakuja kuwa msafi na mzalendo mbele yetu waTanzania
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.

Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.

Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.

Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.

Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.

Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.

Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape amenishangaza sana anahazina ya wazee wa Ruangwa kwanini asiwatumie ili kuleta mabadiliko kwenye ngazi za juu
 
Hapo hakuna aliyesaliti kundi hata kidogo, ni suala tu la intelligent people upande mwingine kuisoma hiyo move. Nape si mtu wa namna hiyo na wala si mwepesi kiasi hicho, Nape ni mwanasiasa aliyeshiba siasa, anayejua anachokifanya. Rudi kwenye video ya Nape akimsifia Magufuli, alafu tazama tabasamu la January utapata picha.
 
Shushushu mkongwe na mbobevu ameshindwaje kujua km Nape sio wa kuaminiwa!!! na alishawaingiza mjini CCJ!!! Pia ameshawaingiza mjini wtz bunge live!! Let's count this as first huge mistake of the so called shushushu nguli!!
Na nahisi huu uzi umeletwa na huyo shushushu mbobezi na sio Bwana Chipalapala Hamza
 
Boss GARETHBALE Ng'ombe aliyekatwa Mkia, anajaribu kupaka mafuta kwa chupa ya mgongo.

Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.

Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.

Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.

Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.

Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.

Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.

Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Macho huna na akili nazo?
Membe is a spent force, has nothing to offer. Kwanza uwezo wake Mdogo sana,hata huo uwaziri alibebwa tu, Membe angekuwa na uwezo kiutendaji ange- reign awamu ya mkapa na Jk, jiulize kwanini Mkapa hakumtaka na ndugu yake Wa Kusini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno yale ya nape yanachora picha nzuri sana iliyofichwa peupe kabisa
 
Watu hawakumwangalia Januari Makamba usoni ....kulikuwa na ujumbe fulani Nape anawasilisha amabao Januari naye alishiriki kuuandaa!
Ila kWabunge wengi wa CCM walikuwa wanashangalia wasichokijua!

kumbe nawewe una kitu inaitwa ‘attention to minor details’ si kila mtu anayo, ni kosa kubwa mtu kudhani una akili zaidi ya wengine manake body language yake pale kitini jamaa kucheka bila kustop ilituma ujumbe ‘nondo zetu zinapasua mawimbi ‘ hawa jamaa hawafai , sijui wanataka urais kwa deal gani si kwa kuupania huku!!!

na huyu mwingine lile jina alimwita kiranja kwenye cm ambayo hakujua inadukuliwa lilitoka rohoni kabisa na ndicho anachoamini hadi sasa anakuja kivingine na rangi ingine na strategy ingine kama kinyonga, kweli wamejipanga! ni Messi yule wa kuchungwa sana hasa kama inavyooneka ni kupitia yale mazungumzo ya cm huyu ni tarishi na hii ya juzikati kuwa ndio speaker au subufa toka kambi ileee!!, cheeter hawezi kuwa leopard kwa kumpaka rangi ya leopard (kuomba msamaha mdomoni rohoni unacheka!)

jamaa ni genius pale aliongea kinyumenyume kwa wenye akili, alisema utekelezaji ilani utafsiriwe kupitia maisha ya watu,sasa nani ana mawe leo mtaani? na pia ‘mchakato wa kumpata mgombea upo palepale na eti mkuu atajieleza utendaji wake mbele yao wao wenye chama walioandika job spec yake ili wampitishe tena!! leo nimeamini kweli IQ zinapishana sana!!
 
Makamba na Nape siyo ma genius. Hii nchi wamekuwepo watu wenye uwezo mkubwa kuliko hao waliojaribu kupambana na system lakini wakafeli sembuse hawa masela.
 
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.

Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.

Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.

Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.

Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.

Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.

Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.
Mkuu unasahau kuwa katika siasa hakuna permanent friend or enemy, bali kuna permanent interests.

Na pengine usipolielewa hilo kuna principle nyingine:
The friend of my friend is my friend, and
Te enemy of my enemy is my friend , and
The friend of my enemy is my enemy, and
The enemy of my friend is
my enemy.

Fikiria hilo kwa makini.
 
Sasa Nape asipofanya hivyo ataishije. Kwanza Nape hana uzoefu wowote wa kuendesha maisha yake zaidi ya kuwa ndani ya CCM. Muuliza nape professional yake aliyosomea shule kama ajua inakuwaje. Kwa hiyo usimjudge hivyo. Wengine wana kwa kukimbilia unaweza kumtoa ccm akaendelea na kazi yake kama kutibu au kufundisha au akarudi mwaloni au akaendelea na biashara yake, sasa Nape umtoe hapo atafanya nini.
 
Back
Top Bottom