sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?
Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?
Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?
Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.