Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani wakimuuwa Kimambi hao USA ndio tatizo litaisha?🐼Akiamua kumuomba Mange.....sijui diplomasia ikoje.....amlete hapa Tanzania .....ila wana nyingi nyingi sanaaa......US wanaweza assign mtu ....akalipwa mbaaaliiii akamtafuta Mange poison au shoot and kill
Marekan si kama tanzania mkuu joe haez fanya ujinga mdogomdogo kama uwazavoRAIS SAMIA AONGEEE NA JOE BIDEN PERSONALLY ILI WAMUEXRADITE MANGE , MATUSI YA NGUONI HAYAVUMILIKI
Labda ....au kupunguaUnadhani wakimuuwa Kimambi hao USA ndio tatizo litaisha?🐼
Zamani alikuwepo Mwandishi wa Mfanyakazi Stan KatabaloLabda ....au kupungua
naunga mkono hojaRAIS SAMIA AONGEEE NA JOE BIDEN PERSONALLY ILI WAMUEXRADITE MANGE , MATUSI YA NGUONI HAYAVUMILIKI
Hao waandishi habari sio Mange....mkuu....!! Niko watukana matusi kwa interest zao....au kutumwaZamani alikuwepo Mwandishi wa Mfanyakazi Stan Katabalo
Akawepo Mwangosi
Ilisaidia chochote kuwaondoa? 🐼
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?
Mange ni Mtoto wa CCM ujueHao waandishi habari sio Mange....mkuu....!! Niko watukana matusi kwa interest zao....au kutumwa
Kigwa yeye adui yake ni MO alimnyima pikipikiWaanze na Kigwangala tujue anatumwa na nani
Sometimes Mange anazinguaHakuna aliyemtukana Mkuu wa NChi acheni uchochezi wa Makonda.
Siku akiji mix arudi utaelewa kama kweli ccm au thithienyuuu......Mange ni Mtoto wa CCM ujue
Ndiye alimwingiza cha kike Freeman na UKUTA hatimaye Billicanas ikashushiwa Kitu kizito
Siasa za CCM ni za Kisayansi 🐼
Kwani hajawahi kuonana na Rais mubashara?Siku akiji mix arudi utaelewa kama kweli ccm au thithienyuuu......
Sawa sawa aji mix now aoneeKwani hajawahi kuonana na Rais mubashara?
Au Matusi kayaanza leo?!!
Haha, yeye na washikaji zake ndio mabingwa wa kuwatukana Watanzania, wapinzani wengi wanatumia lugha hizo hizo za matusi, ukitumia matusi unaonekana wewe ni mtoto wa mjini, msela hata hapa JF matusi ndio kama lugha rasmi ya kuwasiliana.Nape mwenyewe hutukana watu mitandaoni ataweza mlinda boss wake!