Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.

Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.

Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?

Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?

Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?

Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
 
Anavurunda vibaya huyu mama kutukanwa hakutoshi.
 
Nape mwenyewe alikuwa akimtukana Rais Magufuli au umesahau?
 
RAIS SAMIA AONGEEE NA JOE BIDEN PERSONALLY ILI WAMUEXRADITE MANGE , MATUSI YA NGUONI HAYAVUMILIKI
 
Hakuna aliyemtukana Mkuu wa NChi acheni uchochezi wa Makonda.
 
Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?
Labda ni upepo tu unapita
 
Nape mwenyewe hutukana watu mitandaoni ataweza mlinda boss wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…