Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

Akiamua kumuomba Mange.....sijui diplomasia ikoje.....amlete hapa Tanzania .....ila wana nyingi nyingi sanaaa......US wanaweza assign mtu ....akalipwa mbaaaliiii akamtafuta Mange poison au shoot and kill
 
Unadhani wakimuuwa Kimambi hao USA ndio tatizo litaisha?🐼
 
Zamani alikuwepo Mwandishi wa Mfanyakazi Stan Katabalo

Akawepo Mwangosi

Ilisaidia chochote kuwaondoa? 🐼
Hao waandishi habari sio Mange....mkuu....!! Niko watukana matusi kwa interest zao....au kutumwa
 
Rais halindwi na Waziri...

TISS wapo wapi?
 
Hao waandishi habari sio Mange....mkuu....!! Niko watukana matusi kwa interest zao....au kutumwa
Mange ni Mtoto wa CCM ujue

Ndiye alimwingiza cha kike Freeman na UKUTA hatimaye Billicanas ikashushiwa Kitu kizito

Siasa za CCM ni za Kisayansi 🐼
 
Mange ni Mtoto wa CCM ujue

Ndiye alimwingiza cha kike Freeman na UKUTA hatimaye Billicanas ikashushiwa Kitu kizito

Siasa za CCM ni za Kisayansi 🐼
Siku akiji mix arudi utaelewa kama kweli ccm au thithienyuuu......
 
Nape mwenyewe hutukana watu mitandaoni ataweza mlinda boss wake!
Haha, yeye na washikaji zake ndio mabingwa wa kuwatukana Watanzania, wapinzani wengi wanatumia lugha hizo hizo za matusi, ukitumia matusi unaonekana wewe ni mtoto wa mjini, msela hata hapa JF matusi ndio kama lugha rasmi ya kuwasiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…