Awakumbushe TBC kuwa Hilo ni shirika la umma sio la ccm.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.
Nape alienda mbali zaidi na kusema waandishi wasirushe maundhui yenye matusi na kuwataka kubalance story ili kutenda haki kwa wengine.
kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.
Nape afanye kazi yake ya uwaziri, awaache waandishi wafanye kazi yao ya uandishi na vyama vinabidi kuwa makini sana inaonekana nape anaandaa mkakati wa kuwablock kwenye mediaWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.
Nape alienda mbali zaidi na kusema waandishi wasirushe maundhui yenye matusi na kuwataka kubalance story ili kutenda haki kwa wengine.
Chama dola kinaweweseka huku wanasema wapo tayari kwa siasa za ushindani lakini hawajiamini wanaanza kuchagiza masharti, vigezo na kanuni zitakazo bana uwepo wa hali huru ya siasa kwa vyama vyote.