Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

Mropokaji .com+ biashara ya unga +meno ya tembo.com
 
Nape kama hana hoja ajikalie kimya maana safsri za Dr. Silaa ni tofauti na zile za makada wa ccm wanaosafilisha unga.
 
Nape umeshindwa kudanganya watanzania sasa unaleta hoja mpaka mtoto wa la pili anaweza kukujibu swali hizo pesa zimetoka nchi gani? na kama ndio zilizotumika kuwafikia watanzania kwa chopa mbona haukusema tangia pale?na je?NCCR,CUF na wao wamepata pesa wapi?kutokana na wao ndio miongoni mwa waliotoka na hata kupingana na utumbo wenu CDM imekukamata pabaya ndio peke yake unayoitaja katika sakata hili.speed 120 magogoni mwaka 2015 haina kulala mpaka kieleweke
 

Nape anataka kutuhakikishia kuwa serikali ya CCM inaweza ona fedha haramu zinaingizwa nchini ili kuleta machafuko na yenyewe ikabaki inaangalia tuu na mwisho kumtuma yeye akalalamikie Nzega. Hii ni sawa na lile la kuona madawa ya kulevya yanaingizwa na wanaangalia tuu kisha vijana wa Kitanzania wanaharibikiwa.
Hapa anadhibitisha kwa wananchi kuwa SERIKALI YA CCM NI LEGELEGE NA HAIFAI KUWEPO KWANI HAITIMIZI MAJUKUMU YAKE MPAKA KATIBU MWENEZI ANALALAMIKA.
 
Nape yupo kwenye kundi la Dr. Kigwangala, wote wana laana za wazazi wao.....Sio yeye ni Laana hizo.

Bwanamdogo Nape acha upukasuku,yaani alimradi umeropoka kama mtu anayeharisha, hivi hii serikali inayoongozwa Na CCM si ndiyo iliyotufanya tuwe na bajeti tegemezi kwa zaidi take 48% tangu uhuru miaka zaidi ya 52 iliyoopita,na mikopo na misaada ili kuchangia bajeti ya serikali ya CCM inatoka kwa hao wazungu ambao CCM Mnawaita wadau wa maendeleo, Leo unawatukana haohao ambao kila wiki raisi wako na mwenyeki wa masisiemu yuko huko kila wiki ulaya kwa wazungu kutembeza bakuli kama Matonya, ni mashaka makubwa inawezekana na wewe unafikilia kwa kutumia mata....... nono l mean matairi...
 
Ivi ni kwamba ndio kusema huyu nape nauye haoni hata aibu kuongea upuuzi wake mbele ya watanzania? haya!! kama siyo umbeya na unafiki,tuambia hizo fedha zimetoka kwa nani? tafuta hata kichaa tu,anaweza kukushauri kabla ya kuongea! ELIMU HAINA MWISHO.
 
Kidumu chama chamapinduzi! watu kimya, ccm hoyeee...aawapi watu kimya, wananchi mpoooo?tupooo..ccm hoyeee...kimya, dah! kweli watanzania mnajifanya hamuoni ccm ilichokifanya katika nchi hii kweli,kweli ninyiee au naota mimi!!! basi mungu yupo naatalipa jema
kwa jema inshlaaa!
 
CCM wamejiandaa kufanya jambo lolote ili kuendelea kutawala kwa nguvu.
Wapo tayari kutunga uongo,kuhadaa wananchi, kuua hata watu wao ndani ya ccm na hata kuingiza nchi katika machafuko ili mradi waendelee kutawala.
Madai ya NAPE yanaleta maswali mengi sana ya taratibu za fedha.

KWanza hajasema wamepokea USD ngapi na kutoka kwa nani na lini.
Kama ana ushahidi wa CDM kupokea fedha ni lazima anajua nani kaleta fedha.
Kwa mwananchi wa kawaida Tanzania inatosha kwake kudai CDM wamepokea fedha toka kwa wazungu na hasa kama msemaji amevaa shati la kijani lenye nembo yao TUKUFU ya Jembe na Nyundo.
Kwangu na kwa watu kadhaa hapa JF haileti maana mpaka aseme kwa uthibitisho.

Kuhusu magazetii yetu??? Njaa na woga mara nyingi ndo hupelekea kuandika habari za uzushi kutoka chama tawala.
 

Nape awe na amani, na inampasa atulie kwani wembe unapita katika kichwa cha CCM, CHADEMA hela walipata wapi hayo ni maswali ya kitoto, CHADEMA ina wanachama na Wapenzi wengi wanaoichangia bila masharti na ndiyo maana Chadema tuna kampeni ya Movement for Change, ambayo inashirikisha kila mtu kukichangia chama

Tofauti na CCM ambayo kwa kila jambo badala ya wanachama na wapenzi kukichangia chama, chama kinalazimika kuwagawia fedha, khanga na tishet wanachama na wapenzi wake

Chadema hakuna kitu cha bure, ukipenda fulana ya M4C, bendera ya Chadema, kofia, na kitu chochote kile itabidi ununue na hii inafanya wapenzi na wanachama wa chadema kutokuwa wazembe, kwa kutegemea chama bali chama kinawategemea wanachama wake

Chadema inapokea 200+mil ruzuku kila mwezi, lakini sio kwamba ikisimamishwa hii ruzuku Chadema itayumba

CCM wanapokea 800+mil wakisimamishiwa hii watayumba sana, sababu uendeshaji wao ni wa rushwa rushwa na mabavu

kingine ni mgawanyo wa matumizi, Chadema haina matumizi ya hovyo hovyo,

Joash
Member Chadema
 
kwa nini hayo maneno asije kuyasemea hapa Arusha? maana hata kama atayasemea kwenye vikao vyao vya ccm lazima azomewe. ccm sio kama awawezi kutembe na chopa tabu yao ni wizi kila kiongozi atataka kuzidisha pesa ali apate faida hivyo hata kama gharama halisi ni kama ya chadema ccm maesabu yao lazima yawe mara kumi yake
 

Nape waambie watanzania kwamba una mashaka kwamba CHADEMA wamepewa hela ya kuwasaidia wauza madawa ya kulevya wapitishe madawa JKNIA bila kuonekana, waambie pia kwamba CDM wamepewa hela na wazungu ya kuwaajiri akina Kinana kuua Tembo. Waambie pia kwamba CDM wamepewa hela ya kufanya umeme uzimike na kuwasababishia wananchi mgao. Waambie kwamba fedha hizo walizopewa na wazungu wanazitumia kufelisha wanafunzi wa Form Four. Waambie pia kwamba hizo hela wamezitumia kufukuza wafanyakazi wote wa TAZARA na kuisababishia nchi hasara na usumbufu mkubwa kwa wasafiri. Waambie pia kwamba fedha hizo wamezitumia kumwajiri Mwigulu atengeneze video za ugaidi na kutengeza kesi ambazo zimeishia kufeli vibaya.
Mwisho waambie kuwa CDM wanatumia fedha za wazungu kukupeleka semina ya kusema uongo bila kumwogopa Mungu na kukunulia sindano ya ganzi ya kukufanya uone uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo. Vipi ile kombati yako umenunuliwa na CDM pia?
 



......yaaakkhh!i puke!!!!!huyu kweli n......“ape"
 
mbona basi wabunge wa sisimu hawakutoa hayo mapendekezo.
 
Nape anarudia tu kukisema kile ambacho watanzania wanakijua kuhusu chadema.
Kama walivyofanywa MDC kule zimbabwe, ndivyo watakavyofanywa chadema hapa.
2015 ni mwisho wa zama za CHAGA BOYZ katika siasa za tanzania.
Time is running out for you palz
 
HAwa makada wa CCM wanauwezo wa kuwauza hata mama zao kama dau walilotamkiwa likiwakuna.

"Muuze mama yako Uarabuni akatumike kama mtumwa kuna dau la TSHS 100,000,000 hapa"

"Hamna Noma hata ukitaka nitaongezea shangazi zangu wawili,fedha ndo kila kitu bwana inaongea, inakulinda pia inafungua njia. Ukiwa na fedha hata Mungu misheni zake zinabuma,haoni ndani kabisa."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…