Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 735
Ni makosa au ni kaugonjwa kenu kanitwa UDHAIFU mkiona POCHI na maelekezo toka UWT??? Be truthful!!:becky:
Ubungo hadi Mbeya katatizo ni hakohako??
Hujui katawamaliza hivi punde??
Lakini hata hivyo umeshindwa mbaya ndembe kutetea hoja yako ya uchagga, badala yake unakiri kwamba CCM ni dhaifu kila kona ya nchi. Hiiiii Hiiii hiiii:becky:
Ubungo hadi Mbeya katatizo ni hakohako??
Hujui katawamaliza hivi punde??
Lakini hata hivyo umeshindwa mbaya ndembe kutetea hoja yako ya uchagga, badala yake unakiri kwamba CCM ni dhaifu kila kona ya nchi. Hiiiii Hiiii hiiii:becky:
HUJUI UNACHOKIONGEA WEWE!!
labda nikupe ukweli ambao wewe na wenzako mnaujua lakini hamtaki kuukubali.
SUGU ni mvuta bangi aliyepata ubunge kwa makosa ya CCM wenyewe, yule aliyekuwa anatakiwa na wapiga kura(nadhani wote tunamjua) alinyimwa nafasi ya kugombea na kilichotokea ni wananchi kupiga kura za hasira didi ya ccm.
MSIGWA nae ndio walewale.. kapata ubunge kwa makosa ya ccm ya kutompitisha MWAKALEBELA na hivyo wananchi kupiga kura za hasira dhidi ya ccm.
MNYIKA naye anaangukia kundi hilohilo. nadhani unajua wananchi wa jimbo la ubungo walikuwa wanamtaka nani na ccm wakamuweka mgombea tofauti na matakwa ya wananchi. matokeo yake ndio ushindi wa mnyika.
ZITTO KABWE... this is another story. huyu ni mwanasiasa tofauti na wote wa chadema na utakuwa unamdhalilisha sana unapomuweka kundi moja na mzee wa NDUMU SUGU. ZZK hata akigombea kama mgombea binafsi bila kukpitia chama chochote anweza kushinda katika jimbo lolote ndani ya tanzania. no wonder he doesn't fit in your CHAGA SYSTEM.
Kama unataka kumjua ZZK, muulize baba yako wa kufikia FREEMAN MBOWE