Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
Kwahiyo amemzidi Kikwete.“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
Kwa hiyo VPN itumike kwa kusema mabaya ya Samia tu. Ukisema jema la Samia ht 1 basi umeikosea heshima VPN!Mkuu Elewa tunatumia VPN sasa ukileta vitu kama hivi unaikosea heshima VPN
Hapa ni nyuzi za kumpondq Samia tu?Peleka Uzi wako TBC 1
Labda dunia ya Ibilisi.“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
Dunia gani wewe mlevi? Mwanzilishi wa bao la mkono hata aibu huna wewe.Alilofanya la maana ni kukufukuza kazi baada ya wewe kuropoka jinsi mnavyoiba kura ukiwa umelewa. Mjinga wewe, huna shule, umefoji cheti cha Butimba College of Education“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
Jema lipi?Kwa hiyo VPN itumike kwa kusema mabaya ya Samia tu. Ukisema jema la Samia ht 1 basi umeikosea heshima VPN!