Hapa ni nyuzi za kumpondq Samia tu?
Hana jema lolote. That's why nimesema jf VPN itumike kwa kusema mabaya ya Samia tu na si vinginevyoJema lipi?
Ndiyo dunia lazima ishangae, kwa huyo Mbulikenge Nape amedanganya kuwa amesoma Butimba Teacher's college wakati hata form IV alifeli na hakuweza kuendelea mbele bali alibakia mtaani. Wanashangaa yaani Tanzania unaweza kufoji elimu na ukapeta vizuri tu bila shida. Wanashangaa pia majirani zetu hasa Kenya, ikijengwa barabara, wanasema tumshukuru Samia kwa kujenga barabara, wanashangaa uelewa mdogo wa watanzania kuwa pesa za maendeleo na zote zinazotolewa wanadhani ni za Samia kumbe ni kodi zetu, kwa hiyo watanzania hawajui kuwa pesa zetu au kodi zetu ndizo zinazowalipa Samia na Nape hadi wamepata vitambi, watanzania hawajui pia kuwa pesa zetu za kodi ndizo zinazowalipa mawaziri na serikali akiwemo Majaliwa hadi anapata pesa za kutosha za kulipia mistress wake Kishoa na wengine. Watanzania tuna uwezo mdogo sana wa kufikiri....vitu basics vinatushinda.Akiambiwa basi ayataje hayo mambo anaanza kuongelea mambo petty petty ambayo chama chake kimeshindwa kurekebisha tangu tupate uhuru licha ya kua na rasilimali za kutosha.
Anasemaje huyo!!!“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
Hakuna uchafuzi mjukuuKaahidiwa uwaziri huyu kaka wa bao la mkono.
Lol