Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Lowasa akiwa Rais Nape utahama hii nchi maana sijui atakufanya nini huyo mkuu.
 

..................... Mafisadi hawana nafasi katika nchi hii watanzania wameshaamka
 
Narudia tena, woooonote hawa ni pombe ileile tofauti ni chupa tu!
 
Sasa kwanini CCM ilitoa fomu kwa "fisadi?"

Maandiko matakatifu yanasema hivi!

"Mtu azuiaye kinywa kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu."

Nape, play smart.
 
Nape, hizo siasa tu! Tusi danganyane. Atakayepishwa ataungwa mkono na kila mwana ccm.
 
Hivi sisiyemu hawajui kuwa kufanya ufisadi ni kosa kisheria?
 
G Sam


Hivi kama hawa ccm wamegundua kuwa mtu ananunua uongozi/anatumia pesa kutafuta uongozi, takukuru wako wapi kwann wasimfikishe mahakaman sio kupiga makelele

Hii ni sawa na kutoanga maji kwenye kinu!...... By the way kumbe ccm mnajijua kuwa mnamafisadi kwenye chama chenu, kwanini msiwachukulie hatua, pia nyie si ndo serikali, so makali ya serikali yapo wapi..?

P..b.v. saana mnabaki kupiga makelele tu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: DSN
Ukiwasikiliza kina Nape na Kinana bila ushabiki utagundua turufu ya ccm ni kweli ni Makongoro Nyerere
 
Reactions: DSN
asiyejua kuwa Nape ni team MTAMA nani? anyooshe mkono juu.
 
tushachoka na ahadi zake ambazo uishia miguuni pake, yako wapi matamko ya siku 90 za mafisadi kuvuaagamba,?
 

CCM wote mafisadi tu, wasitudanganye kama wanajua yeye ni mwiz na mtoa rushwa mbona hawamshughulikii ukizingatia wao ndo wako madarakan
 
Big Up Nape! Sema usiogope sema! Chama Cha Mapinduzi kuwakilishwa na fisadi, ni kukifedhehesha Chama!
 
Reactions: DSN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…