BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania.
Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo kuja swala la kukosolewa.
Kuna watu wanasema ile ni account yake binafisi, hata kama ni binaisi ila yeye ni Waziri wa Habari, huwezi kumtenganisha na uwaziri so vyote anavyo fanya lazime vipimwe hapo kwenye Uwaziri wake.
Kwa sababu hataki kukoselewa ndio maana sasa hadi hizi Station za TV na Radio zimekuwa zikipokea.maelekezo yake ya nini zireport na nin wasireport.
Huwezi ukawa waziri wa Habari huku wewe mwenyewe huyaki mawazo kinzani, unataka mawazo yote yafanane watu wote wawaze sawa na unavyo waza.