Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

uwaziri wa shithole countries ni kama zawadi tu. "chakupewa". sasa mtu kama Nape anaweza kusaidia nini taifa.

Yesu ni Bwana na Mwokozi
 
Ukiwa waziri kamili unaingia katika baraza la mawaziri na hiyo ndiyo serikali yenyewe.Wewe ni mtu mkubwa katika serikali na nakuomba achana kujibu kila kitu Tweeter.
Kuna mengi sana unaweza kufanya.
Hakuna Waziri bwege kama huyo, angelikuwa na hekima na busara na utulivu angekuwa na thamani kubwa sana tatizo kalelewa na Mama sana na anatoka matrilineal society watoto mali ya wamama
 
Ukiwa waziri kamili unaingia katika baraza la mawaziri na hiyo ndiyo serikali yenyewe.Wewe ni mtu mkubwa katika serikali na nakuomba achana kujibu kila kitu Tweeter.
Kuna mengi sana unaweza kufanya.
Labda ni wa waziri wa Jamhuri ya X...
Lakini kifupi anatetea tumbo lake!
 
Nadhani kosa ni jinsi anavyojibu ila kwa kiongozi kuweza kujibu (iwe Twitter au hata kwenye SMS au vijiweni) ni advantage na sio Disadvantage...

Ingekuwa vema zaidi kama kila waziri tungekuwa tunagongana nao Twittani na pengine pote..., Nadhani ni kupotoka kudhani hawa watu ni exceptional hivyo wasijichanganye..., Waige mfano wa Trump (connection with people through twitter) ingawa wasiige uongeaji wa Pumba
 
Ukiwa waziri kamili unaingia katika baraza la mawaziri na hiyo ndiyo serikali yenyewe.Wewe ni mtu mkubwa katika serikali na nakuomba achana kujibu kila kitu Tweeter.
Kuna mengi sana unaweza kufanya.
😂😂😂 waziri anashindwa twitter nchi ya ajabu hii
Hawa watu tumewapa kazi ya kumsaidia Mama. Tafadhali sana tunaomba wamsaidie Mama
 
Bando la Bongo:-

Siku 3 ni zaidi ya 1000 KShs

17.2760 × 1000 = 17,276 TShs

Bando la Kenya:-

Siku 3 ni chini ya 200 KShs

17.2760 × 200 = 1,455.20 TShs

1 KES = 17.2760 TZS

Tafakari....!!!
 
Back
Top Bottom