Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Hakuna Waziri bwege kama huyo, angelikuwa na hekima na busara na utulivu angekuwa na thamani kubwa sana tatizo kalelewa na Mama sana na anatoka matrilineal society watoto mali ya wamamaUkiwa waziri kamili unaingia katika baraza la mawaziri na hiyo ndiyo serikali yenyewe.Wewe ni mtu mkubwa katika serikali na nakuomba achana kujibu kila kitu Tweeter.
Kuna mengi sana unaweza kufanya.
Labda ni wa waziri wa Jamhuri ya X...Ukiwa waziri kamili unaingia katika baraza la mawaziri na hiyo ndiyo serikali yenyewe.Wewe ni mtu mkubwa katika serikali na nakuomba achana kujibu kila kitu Tweeter.
Kuna mengi sana unaweza kufanya.
Ukiwa waziri kamili unaingia katika baraza la mawaziri na hiyo ndiyo serikali yenyewe.Wewe ni mtu mkubwa katika serikali na nakuomba achana kujibu kila kitu Tweeter.
Kuna mengi sana unaweza kufanya.
Hawa watu tumewapa kazi ya kumsaidia Mama. Tafadhali sana tunaomba wamsaidie Mamaπππ waziri anashindwa twitter nchi ya ajabu hii
Kwa kushinda twitter ndio kumsaidia?Hawa watu tumewapa kazi ya kumsaidia Mama. Tafadhali sana tunaomba wamsaidie Mama
Rudia tena kusoma kilichoandikwaKwa kushinda twitter ndio kumsaidia?