Nape hastahili kusimama kukemea tabia za kutukana watu

Mifumo ya kisheria ikisimama na watu wakawa seriously hakuna atakaye bakia mitaani wengi tutakuwa watuhumiwa wa makosa mbalimbali.
 
Mifumo ya kisheria ikisimama na watu wakawa seriously hakuna atakaye bakia mitaani wengi tutakuwa watuhumiwa wa makosa mbalimbali.
Na hivyo basi,tuishi kwa kustahamiliana na busara.Hakimu asipokuwa na busara na kushikilia sheria ipo siku atajikuta anaishi yeye na paka wake tu.
 
Thibitisha huo wizi,la sivyo kumuita mtu Fulani mwizi pasipo kuthibitisha uizi wake nayo pia ni JINAI.
Ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi, ukikuta matokeo ya uchaguzi 2020 ulete mrejesho.
 
Nape anajulikan toka mda mrefu ni mchumia Tumbo,

Kibaya zaidi ni Asidic Wembe !
 
Vyeo vya kupeana tu kwani Nape ana nini cha ziada kichwani, si fadhila tu eti ni mtoto wa mzee Nnauye
 
Muacheni Mh. Nape jamani, mbona yeye hajawahi tukana mtu?
 
Kumuita mtu mshamba nalo ni tusi?
 
Si kila mtoto wa kiongozi Ana Sifa za kuwa Viongozi, Ndo maana kila siku tunaona vituko
 

Na wewe acha uchawa wako Lissu maemtukana Samia kwa maneno gani? Acheni kuleta uchawa menu kwenye mambo serious ya nchi. SamiaIkasaini mkataba wenye hasara kwa nchi , mnataka asifiwe kama nyie mnavyomsifia kutokana na unafiki wenu?
Magufuli alimuweka kando Nape kwasababu ya utovu wa maadili na Samia alikuwepo kama Vice President; lakini alipoukwaa Urais akadharau uamuzi wa busara wa Magufuli na kumkumbatia Nape ambae amewahi kuwatukana viongozi wa rika ya baba yake kwenye hadhara ya watu. Hana moral authority ya kusimama na kuzungumzia juu ya maadili mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…