Nape hastahili kusimama kukemea tabia za kutukana watu

Anadhani Watanzania Wamesahau
 
Vyeo vya kupeana tu kwani Nape ana nini cha ziada kichwani, si fadhila tu eti ni mtoto wa mzee Nnauye
Waziri Nape , ana ethical issues na anakua na shida ya kubalance mizazan, ukatibu mwenezi ungemfaa sana
 
Duh [emoji23] hata hili linahitaji ithibati kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mods tafadhalini sana msifute comments zenye tahadhari…..

Iko hivi dipiworld Kile wanafanya ni kueneza nimai (aliyeelewa basi tupo pamoja) ya mlengo fulani ndio maana mkataba unasema wafanyakazi watatoka huko. Huku koootee wanapita dhumuni kubwa ni kueneza nanilii. Ndio maana Unaona pande hii wahusika wakuu ni walewale so hili swala tusichukulie poa soon tutakuwa wa kukimbia nchi yetu… Makanisa yapige kelele tulipo sio penyewe..

Mods tafadhalini sana.

wanasema ifikapo maybe 10-20yrs dunia nzima itakuwa imani moja
Jina Lao linajieleza

Msifute tafadhalini..

Keep hii comment itawasaidia huko mbele
Tanganyika amkeni
 
Sichangii chochote
 
Hili ni jukumu la wizara ya mambo ya ndani na vyombo vya ulinzi na usalama, siyo jukumu la waziri wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…