Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Nnape anzisheni mkakati wa kumng'oa huyu Msukuma..tulioyashuhudia hii miaka yanatosha.
Kwanini uweke kabila lake hapo?? Mkiitwa wakabila mnabisha, my friend, tambua kamati kuu ya chama inamkubali magu na ana baraka zao na wanashauriana, jeshi etc. Huyo nape na unodhani ni wenzake, pamoja na lisu, zito etc, mnatwanga maji kwa kinu, andaeni tu kisingizio cha kuibiwa kura 2020, as usual since multipartism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma inawatesa mpaka wameanza kutubu hadharani ,alianza mwigulu ,akaja nape ,Leo makamba .Karma kiboko mtayasema Yote .
 
Hiyo ya kunyang’anywa ubunge ame save, imebaki takrinan mwaka na nusu kinyan’anyiro kianze ila anajijua kuwa jina lake litaishia Dodoma.
 
Nawashangaa mnaoona kuwa hayo anayasema toka moyoni,kama mngeweza mngempa uwaziri tena muone kama atasema hayo.

Mungu ibariki Tz
 
Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Huna lolote, sema umekosa cha kukosoa ndio ukaona uje na hilo, nyuzi zingine uwe unapita kimya tu, sio lazima uandike
 
 

Attachments

  • CCM.png
    92.1 KB · Views: 16
Saa mbovu nayo kuna wakati inasema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…