Yaani hawa watu wakiwa na madaraka hua wanajiona wao kama sio binaadamu wa kawaida, katika watu waliokua wanaongoza kwa mdomo mchafu, kiburi na dharau sidhani kama kuna aliekua anamfikia Nape, leo hii kitumbua chake amekitia mchanga ndio anajifanya kujiongelesha hayo ili kutafuta huruma, halafu hawa kenge dizaini ya nape wanapokua madarakani hua hawajifunzi kabisa kwa wenzao yalivyowatokea.
Mi kwa upande wangu naunga mkono juhudi za kumsomesha namba huyu kenge ikiwezekana wamnyang'anye hata huo ubunge halafu watafute kenge mmoja mpya aliyehamia kutokea upinzani apewe jimbo lake ili imuume zaidi na zaidi na ikwezekana wamfungulie hata kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na wamnyime dhamana aone mateso na machungu aliyokua anawasabishia watanzania kwa tamaa zake za madaraka.
Maendeleo hayana chama