Nape kasema alivyosema na nimeelewa lakini nami nipo katika kuwapa darsa ndogo ndogo, au hamjalipenda hilo?Umekosa majibu unaleta vihoja.
Kwanza ungekuwa umeelimika, hiyo kasoro ya kiuandishi wala isingekuwa issue kubwa kwako bali issue ingekuwa ni hayo maneno ya Nape.
Ni wazi elimu yako haijakusaidia kabisa!
@imhotep mimi najua wewe ni nape na nape ni wewe,
Yaani huwaga nacheki halafu nasema hhiiiiiiiiiiiiiii
Yaani watanzania wengi akili zao hua zinashikiliwa na tumbo.
Hata huyo mpiga debe siku maslahi yake yakiguswa ataungana na nyinyi.
Maendeleo hayana chama
Alifikiri anwakomesha wapinzani, leo ni spent force!Yule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228
In God we Trust
Huyu bwana akili zimeanza kurudi kichwan
Kwahiyo unaamini makosa ya kiuandishi hapa JF yataisha kwa wewe kukosoa uandishi tena huu ambao sometimes ni typing error tu?Nape kasema alivyosema na nimeewa lakini nami nipo katika kuwapa darsa ndogo ndogo, au hamjalipenda hilo?
kwa hiyo we bibi kazi yako ndio hiyo kuangalia watu wamekosea wapi kwani hujaelewa jenga hoja acha kujifanya mtotoAkili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Nchi hii haina wanasiasa mi naona wote ni wajasiriamali tu, nape mi nakuombea yakukute zaidi kwa ule uovu wako uliowafanyia watanzania ili na wewe uanze kuyaonja hapahapa yale mchungu uliyotuonjesha ulipokua na madaraka.
Maendeleo hayana chama
Hayo maneno kayatamka yeye mwenyewe kupitia clouds tv hakuna mwenye muda mchafu wa kuwachonganisha maccmMtaweweseka sana - mtajaribu kumchonganisha lkn mtakwama - CCM ni imara kuliko kipindi chochote cha maisha yake
Yaani hawa watu wakiwa na madaraka hua wanajiona wao kama sio binaadamu wa kawaida, katika watu waliokua wanaongoza kwa mdomo mchafu, kiburi na dharau sidhani kama kuna aliekua anamfikia Nape, leo hii kitumbua chake amekitia mchanga ndio anajifanya kujiongelesha hayo ili kutafuta huruma, halafu hawa kenge dizaini ya nape wanapokua madarakani hua hawajifunzi kabisa kwa wenzao yalivyowatokea.imhotep usitake kuniambia hii post hujaiona.
Hata Saddam àlikuwa akisema kuwa anawasagasaga maadui kwenye Geti la Bhagdaad.Mtaweweseka sana - mtajaribu kumchonganisha lkn mtakwama - CCM ni imara kuliko kipindi chochote cha maisha yake
Mtaweweseka sana - mtajaribu kumchonganisha lkn mtakwama - CCM ni imara kuliko kipindi chochote cha maisha yake
Yaani hawa watu wakiwa na madaraka hua wanajiona wao kama sio binaadamu wa kawaida, katika watu waliokua wanaongoza kwa mdomo mchafu, kiburi na dharau sidhani kama kuna aliekua anamfikia Nape, leo hii kitumbua chake amekitia mchanga ndio anajifanya kujiongelesha hayo ili kutafuta huruma, halafu hawa kenge dizaini ya nape wanapokua madarakani hua hawajifunzi kabisa kwa wenzao yalivyowatokea.
Mi kwa upande wangu naunga mkono juhudi za kumsomesha namba huyu kenge ikiwezekana wamnyang'anye hata huo ubunge halafu watafute kenge mmoja mpya aliyehamia kutokea upinzani apewe jimbo lake ili imuume zaidi na zaidi na ikwezekana wamfungulie hata kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na wamnyime dhamana aone mateso na machungu aliyokua anawasabishia watanzania kwa tamaa zake za madaraka.
Maendeleo hayana chama
Hata Saddam àlikuwa akisema kuwa anawasagasaga maadui kwenye Geti la Bhagdaad.
Kiunafki bora hata nimshangiliwe jiwe lakini sio huyo kenge aliyekua na maneno ya shombo kuliko hata lile shombo la ferry.Usipo weza kuwapinga washangilie hata kinafiki
In God we Trust