Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.

Ndiyo vizuri ili wajue umuhimu wa kubadili mfumo na siyo kumwacha mtu mmoja anayeitwa rais kufanya atakavyo. Huyu ni mmoja ya mawaziri ambao hawakuona umuhimu wa kukaa upande wa wananchi.
Ni sawa kabisa nape kudhalilishwa, wakati ule anatumbuliwa na Magu wananchi walimtetea na kua nae pamoja, ila aliporejea kwenye Systeam akawa jeuri na kiburi kwa wananchi akawa mtetezi wa makampuni ya Simu naMajibu ya hovyo kwa wananchi
Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
haujui alichomfanya, ila unaona tu alichofanyiwa labda hata alitakiwa kutiwa pingu na moja kwa moja rumande ktkn na alichokifanya who knows? usihukumu bila kuwa na facts za pande zote mbili …
Acha kutetea hawa watu. hawa hawa ndio watu wanaiba kura kudidimiza uhuru wenu kila siku. Weka dp yako halisi halafu kemea serikali uone, kama hawajakuteka sasa hivi..
Acha kutetea hawa watu. hawa hawa ndio watu wanaiba kura kudidimiza uhuru wenu kila siku. Weka dp yako halisi halafu kemea serikali uone, kama hawakuteka sasa hivi..