Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Seriously, nanyi 'wasomi' mnashabika hili?! Acheni utani please! Basi mwambieni yeye kama kiongozi asilete matani kwenye maisha ya WaTz.
Oh Lord have mercy on you na Nape
Unbelievable
Nini mnatafuta ukuu wa wilaya mkoa au wenyeviti wa vijiji
Magu anaponzwa na wengi
Nchi za wenzetu huwezi kusema utani wa kipuuzi kama huu juu ya maslahi ya Taifa na watu wake

So Petro na Nape mnabariki Double Standards shame on you
Mwambieni Mkulu blue ni blue sio nyeusi
Mkuu, petro ana njaa kali mkuu msamehe tu................si unajua awamu hii ukijipendekeza kwa mkulu una chance kubwa ya kutoka maana huo ndo uzalendo...............
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila anachosema wanakanusha
 
Kauli ya Raisi hata kama ombi ni sheria mambo ya utani anayajua yeye au aende akombomoe kama ana kifua
 
Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Hapakuwa na utani hapo kama ni utani basis ilikuwa yeye mwenyewe ndio wa kukanusha CIO nyinyi au labda mtwambie kwamba alikutumeni kukanusha kwa niaba yake.
 
utani umezidi sasa ndo maana hata kale kajamaa sijui ka Dr nani aliyenunua nyumba za lugumi nae alitania kutoa bil 1.1 tuache utani aisee
 
Jpm anaongoza watu zaidi ya 50M anatoa hotuba kwa watu huku akitumia lugha ya taifa akimaliza kuhutubia vinakuja vijitu vichache vinaleta ufafanuzi wa matamshi ya rais tofauti kabisaa na vile tulivokuwa tunaelewa mwanzo sasa Mimi najiuliza hivi msemaji wa serikali nape polepole na mwaziri ndio wanaufahamu mkubwa sana wa kuchanganua mambo kuliko watu wote juu ya hotuba za bwana huyu?kama anazngua speech zake why it happen frequently? It means mzee huwa hafanyi review ya speech zake? Waziri wa habari anamshauri nn rais?
 
Mbungewa mtama Nape Nnauye akiwa anahojiwa na DW amesema kitendo cha rais Magufuli kusema watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura ilikuwa ni utani sababu rais ni mtu anayependa kutania

Amesema pia ameshangazwa na bomoabomoa iliyofanywa kwa wananchi ambao serikali ilikuwa imewarhusu kujenga na kusema jambo hilo halifai

Mkuu kwanza asante kwa bandiko hili, pili kuna kitu kikubwa sana na cha muhimu Nape amekizungumza kuhusu kauli ile ya rais Magufuli, alichokisema hata mimi nimekisema hapa.
Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa ...

Paskali
 
Wewe nape ni mnafiki kuliko unavyoonekana !! Ulikaa wapi na magufuli, akakwambia alitania !!! Sasa walivyokujaribu na Nissan,subiri uokotwe ruvu,au baharini. kujikomba gani huko ili urudishiwe uwaziri au upewe ukuu wa mkoa??? kauli ya magufuli haikua hata na uso wa utani,wala chembe ya aibu ni mtu wa kauli mbaya na ngumu maisha yake yote tangia uwazizi.kigamboni wapige mbizi,kama hawana hela ya kivuko nk. unayajua fika,leo unajikomba kumsafisha,ili akupende ? Ile bastola ilipita sasa bisbis watakuchoma nayo tu,mwanga kweli kweli huyu mtu !watu tunalia na matendo/kauli za magufuli wewe unamlinda !!! Unapata nn hasa cha kukufanya uwe hivyo?
 
Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!

Basi hata zile 50m@ kijiji ilikuwa ni utani ndio maana mpaka sasa hazijatolewa. Alivyokuwa akisema miradi ya maendeleo ilikuwa inafanywa na fedha za ndani nao ni utani kwani sasa wamekiri deni la taifa limekuwa kutokana na kutekeleza miradi ya maendeleo. Je hii kelele ya nchi ya viwanda sio sehemu ya huo utani?
 
Wewe nape ni mnafiki kuliko unavyo onekana !! Ulikaa wapi na magufuli,akakwambia alitania !!! Sasa walivyokujaribu na Nissan,subiri uokotwe ruvu,au baharini.kujikomba gani huko ili urudishiwe uwaziri au upewe ukuu wa mkoa ??? Hovyo kabisa wewe.kauli ya magufuli haikua hata na uso wa utani,wala chembe ya aibu ni mtu wa kauli mbaya na ngumu maisha yake yote tangia uwazizi.kigamboni wapige mbizi,kama hawana hela ya kivuko nk. unayajua fika,leo unajikomba kumsafisha,ili akupende ? Ile bastola ilipita sasa bisbis watakuchoma nayo tu,mwanga kweli kweli huyu mtu !watu tunalia na matendo/kauli za magufuli wewe unamlinda !!! Unapata nn hasa cha kukufanya uwe hovyo hivyo?
hivi hujui katibu mkuu Kinana anaondoka chamani..unataka nani apewe ukatibu mkuu
 
Naona kaweka akiba ya maneno "ila hawezi kuapa kuwa hatohama"
 
Back
Top Bottom