Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Nape hajielewi, after all hawa wako katika nafasi hizo kwa mgongo wa baba zao, sio fighters, sio kwa elimu zao, sio fighter wa kutafuta maisha, sio kwa outstanding performances zao in a society etc, etc! Huyu rais ametikisa influence za baba zao, ona wanavyo fumble around with press conferences and tweets !
Nitawashangaa sana Chadema kama baadaye itawapokea watu wa aina ya Nape ingawa mtaji wa wanasiasa ni watu lakini watu kama Nape ni wa kutoswa tu jumla hii ni oil chafu.
 
Nitawashangaa sana Chadema kama baadaye itawapokea watu wa aina ya Nape ingawa mtaji wa wanasiasa ni watu lakini watu kama Nape ni wa kutoswa tu jumla hii ni oil chafu.
Nape anatafuta kukumbukwa! Kwa keen observer, utaona kabisa anajutia kumgusa RC. Alidhani kwa vile yeye na baba yake ndio TANU, UVCCM, CCM huyu atawaonea aibu. Ametikiswa anatafuta kumwonyesha kuwa "baba pamoja na yaliyonitokea, bado mimi ni wako na CCM ni yetu... driving towards that destination!
 
Pakawa usipoteze muda wako na huyu Mwanasheria. Kipindi cha nyuma nilimuona mtu wa maana kwa kujenga hoja lakini kishanunuliwa au njaa imemkaba sana anatafuta teuzi naye kwa udi na uvumba. Kazi yake siku hizi humu ni kuwasifia hawa mafisadi ambao hawastahili sifa zozote zile kwa jinsi wanavyoivuruga nchi yetu.

Seriously, nanyi 'wasomi' mnashabika hili?! Acheni utani please! Basi mwambieni yeye kama kiongozi asilete matani kwenye maisha ya WaTz.
Oh Lord have mercy on you na Nape
Unbelievable
Nini mnatafuta ukuu wa wilaya mkoa au wenyeviti wa vijiji
Magu anaponzwa na wengi
Nchi za wenzetu huwezi kusema utani wa kipuuzi kama huu juu ya maslahi ya Taifa na watu wake

So Petro na Nape mnabariki Double Standards shame on you
Mwambieni Mkulu blue ni blue sio nyeusi
 
Kaamua kumsujudia jamaa ili naye apate teuzi. Pamoja na jinsi alivyodhalilishwa na huyo Mkuu sasa kaamua kumpigia magoti na kusifia lugha za kibaguzi na kuuita eti ni utani!

Mpuuzi kabisa huyu Nape, nitawashangaa sana Chadema kama baadaye itawapokea watu wa aina ya Nape ingawa mtaji wa wanasiasa ni watu lakini watu kama Nape ni wa kutoswa tu jumla hii ni oil chafu.

Nape anatafuta kukumbukwa! Kwa keen observer, utaona kabisa anajutia kumgusa Bashite. Alidhani kwa vile yeye na baba yake ndio TANU, UVCCM, CCM huyu atawaonea aibu. Ametikiswa anatafuta kumwonyesha kuwa "baba pamoja na yaliyonitokea, bado mimi ni wako na CCM ni yetu... driving towards that destination!
 
Magufuli alimanisha hakuna utani wa namna hyo na kama ndvyo basi serikali imegeuka na kuwa group la comedy na sio ya kuaminika tena kwa wananchi..... Tukutane 2020
 
nape anataka kumsemea rais kwa nini?kwenye suala la kuhama chama nape yuko sahihi sana. huwezi kuweka nadhiri na chama....
 
Maagizo yoyote atuayo president huwa ni Amri kifuatacho ni utekelezaji so huo utani ambao Nape anazungumzia upo wapi? , binafsi naona kama huyo Nape anajipendekeza kwa mkuu hili amfikirie kanafasi. na tangu lini Nape akawa msemaji wa president?
 
Huyu mtu kila siku anatania?
Daaah tumechoka kufanywa mapoyoyo
Juzi kasema haongez mshahara
Oohhh mara mlimnukuu vibaya
Juz kaenda kagera kasema watu wanaofanya shughul ktk maeneo yasiyo rasmi wasisumbuliwe bado watasema alikua anatania
Kuna siku kasema zaeni tu watoto wengi nitawasomesha kakatokea kale ka mama ka afya eti alikuwa anawatania
Dadeeeq ccm hamkuchaguliwa kutuletea utani dadeeq tuheshimiane
Kuna siku atatukana ! Nahisi atakuwa anatania pia.
 
Nape, Nape, yani MTU mzima anaongea point zake,halafu wewe unasema ilikuwa ni utani?Hiyo ndugu Nape ni dharau.Pia kwanini watu wakutafsiri kiswahili kwa kiswahili wanaongezeka?Je sisi tutajuwaje kuwa hiyo tafsiri ni sahihi? Je hii ni dalili ya nini?Na ninani amewatuma kutafsiri?Je watanzani ni matahira ambao hawaielewi hata lugha yao?Acheni kupaka mafuta juu ya vumbi.
 
Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Basi atakuwa hajafundwa sawa sawa, utani ni katika michapo sio maagizo. Umeagiza viongozi wote wa mkoa kutenda jambo, leo wanasema alikuwa anatania! Naona Nape ndio anataka kutania
 
Mimi nadhani Nape anamwambia mzee umekosea lakini kiheshima hakutaka kumwambia Baba umekosea direct lakini msg delivered.
 
Back
Top Bottom