Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Oooh
Sasa wewe ni kama yeye 100%
Tbia, alichofanya yaani weye weye na ndio mana mimi nakuita dr. Shika

Sasa wewe umeelewa mimi chambulia wewe sababu wewe no fikiria nje ya box
Nilikua napitia pitia comments na quots zako, moja ilisomeka inamashaka na utaifa wako eti wewe sio mbongo. Nikaona alikua anatania tu.
Lakini kama utani wa ukweli vile ? Maana kwa kiswahili ulichotumia hapo juu duh. Kama mnyarwanda vile.?
 
Hili swali kwa Nape lilikuwa gumu jibu rahisi na kwepa lawama ni kusema mkuu alikuwa anatania mambo y songe mbele. Ametumia hekima n busara kubwa
 
Nape anajaribu kuzima moto kwa shuka, utazima mara ngapi ndugu? Sio wabunge tu wa ccm na mawaziri wao wanaoteseka kwa kauli zichomokazo kanda ya ziwa bali hata walinzi wa mkulu tabu ni ileile maana Jomba anaweza kuchomoka speed bila taarifa na kuwapa wakati mgumu wanaomuhakikishia usalama wake.

Mpaka awamu hii iishe kanda ya ziwa itakuwa nchi jirani maana yaliyo haki huko huku ni haramu.
 
Rubbish. Mnajaribu kutetea kwamba ni utani? Kauli zake % kubwa ni controversial sasa baada ya miaka miwili mnatuambia bado ni utani? Nchi hii ina watu wa ajabu sana!
 
Makufuli ameahidi vitu vingi sana na bado anaendela kuahidi. je hivyo vitu tutavipimaje kama ni kweli au ni utani au ni uongo.
Kwa sababu utani na uongo ni kitu kimoja.
 
"....Sijamuona bado mtoa kibali cha kubomoa eneo lolote Mwanza baada ya kauli ya Rais..... "

Jerrytz
 
Haya mnaopenda kumshangilia mshangilieni na leo.. eeeeeh

Au kwa kuwa kasema yeye haji upande wenu!?
Ha ha haaaa.. ila alishayasema haya kabla ma mlijadili humu huku mkilia na machozi yakiwatoka na kujipiga vibao vya usoni pia.
Hata mtakatifu aliposema Saddam Hussein ni raisi wa Kuwait alikuwa anatania tu.....Sizonje/Pogba anapenda utani sana!
"I WISH I KUDU BE IGP"!
 
Hata zile 50 milioni kila kijijini, nazo alikuwa anatania tu wakuu
 
Counsel, are you sure you are not acting crazy?
Petro naye anatania tu.

Mkuu hata anaposema uchumi wa nchi unakuwa na makusanyo ya kodi yameongezeka huwa anatania tu. Si alisema hata kuchukua fomu za kugombea alikuwa anatania tu watu wakamsukumizia huko? Jamaa ana matani mengi sana, hata aliposema "I wish I kudu be IGP alikuwa anatania tu ukiacha ule utani wa Saddam Hussein alikuwa raisi wa Kuwait!
 
Raha kweli, haswa pale inapotokea mtu mmoja akatusaidia kutafsiri kauli za Mheshimiwa kama sisi hatuna ubongo wa kuchambua na kuelewa!
 
Serikali imeona na kusikia bila Shaka huo ni mwanzo mzuri sana wa kusitisha bomoa bomoa nchi nzima
 
Back
Top Bottom