Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Huyo sangoma wake sio tapeliNa iwe kama ulivyonena, halafu baadaye afuatie Mwigulu
NamNa iwe kama ulivyonena, halafu baadaye afuatie Mwigulu
NamHawana impact yoyote hawa hata wakitemwa ni sawa tu
Foreign affairs ni kazi kubwa sana na waliopita tuliwasikia sana
Ila huyu kama mkuu wa wilaya tu
britanicca kasema mende anatoa maziwa. Umekubali au unataka ushahidi?Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
NamMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
HahaNa hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
AlitemwaMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Hebu tusaidie sisi wa huku Wanging'ombe tuelewe.Alitemwa